$10bn Ghana homes deal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

$10bn Ghana homes deal

Discussion in 'International Forum' started by Kwame Nkrumah, Dec 9, 2009.

 1. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  South Korea in $10bn Ghana homes deal


  [​IMG] Ghana's cities are said to be woefully short of housing

  A South Korean firm has agreed to build 200,000 homes in Ghana over the next six years at a cost of $10bn (£6.1bn), Seoul officials say. Construction firm STX will set up a joint venture to share the cost of the project with Ghana's government.
  Seoul officials say 90,000 of the homes will be owned by the Accra government - the rest will be sold.
  South Korea says it intends to seek more opportunities to help build infrastructure in sub-Saharan Africa.
  The country, like other rich nations, has already signed various deals in Africa giving it access to farmland to help shore up food supplies.
  STX said its housing deal will involve construction in 10 cities, including the capital Accra, from 2010 to 2015.
  The firm signed the deal in Seoul with Ghana's Minister of Water Resources, Works and Housing Robert Abongo.
  The Korean Ministry of Land, Transport and Maritime Affairs said the deal had been completed after officials had been to Ghana to promote Korean building firms.
  "Korea [has a] lack of natural resources and thus is keeping an eye on the African continent - just as developed nations and China are fiercely doing so - to secure natural resources," said a ministry statement.
  "Sub-Saharan Africa is rich in natural resources but is a civil-war devastated area with poor infrastructure. Korea sees the region as a new construction market."


  http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8403774.stm


  Hivi ndivyo fedha za umma zinavyotakiwa kutumika. Angekuwa JK hapo angejisifia mpaka majogoo. Sijui misafari yote huwa anaendaga kufanya nini.Angekuwa kila akirudi safari zake akija na deals kama hizi watu wasingelalamika.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Kabisa kabisa...
  But hata watu binafsi
  waige hiii...
  Sio pesa nyingi hivyo...
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Good move.
   
 4. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Tena mtu aliyeenda kusaini mkataba ni waziri wa kawaida tu. Siyo Rais wala nini. JK hapo lazima angetia timu mwenyewe.
   
 5. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hizo ni pesa nyingi sana au mwezetu umeziona kishillingi nini?. Hiyo ni budget ya serikalil ya Tz ya mwaka.
   
 6. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2009
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,567
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  pia kiongozi wa wizara akiletewa idea hiyo na wakorea angeweza kuuliza kwamba yeye atanufaikaje.labda anaweza akataka nyumba 50 ziwe zake kwanza ndo wapitishe mradi.hii partnership ya KLM na KQ waholanzi walikuja Tanzania kuomba kuwekeza ATCL wakakataliwa
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
 8. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Yes, mipango mizuri ikifanywa ni hela ndogo . Kumbuka Tanzania hamna bado sheria ya mortgage, ule muswada bado umekwama bungeni.
   
 9. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ghanaians wanaona hela yao ya dhahabu inaenda wapi.

  Sasa rais kama huyu hata kama ana matatizo mengine, kwa hili tu anaweza kuja kukuomba kura ukamkubalia, au anaweza kusema bila haya "Maisha bora kwa kila M-Ghana", au "Ari mpya nguvu Mpya", of course hata upinzani wakimuibulia mambo yake mabaya - ambayo kama rais hatakosa- lakini watu wanaweza kukaa chini na kusema mazee mwacheni aende, nyumba bora 200,000 si mchezo.

  Sio sisi, wa tatu kwa uzalishaji wa dhahabu Afrika baada ya Ghana na South Afrika lakini hatuoni hela zinapokwenda. Yani tunayoyafahamu ni madogo sana, nchi yetu ina uwezo kabisa wa kufanya project kama hizi na hata kubwa zaidi, tanzania ni kubwa zaidi na ina maliasili nyingi zaidi ya Ghana, lakini wapi.

  Tunaishia kununua mibenzi, mi BMW inayodepreciate the minute you buy, kujenga ma kasri Msega na Bagamoyo wakati nchi nzima haina umeme wa kueleweka!
   
 10. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  lakinio pia kuna habari kuwa hawahawa jamaa wanakuja pia bongo kuendeleza mradi wa kilimo,kama sijakosea maeneo ya pwani.kwa hiyo wa-ghana wamekwenda kinyumbanyumba wabongo wameenda kwa upande wa kilimo............
   
 11. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Bora hata hizo nyumba zitaonekana.

  Hicho kilimo kitakapoishia utaniambia mwenyewe.
   
 12. bona

  bona JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  this is fantastic, we should be striking such deals all over africa! in this country we badly need such deals to get rid of nhc, nowdays its unthinkable to get nhc house!
   
Loading...