1080p Movie play problem

1080p Movie play problem

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salam wakuu, laptop yangu juzi ilicorupt ikabd ninunue low-end lap nyingine (toshiba satellite c660-15N). Iko fresh kimtndo, tatizo ni pale napo download HD movies (1080p blueray), ukiwa unaangalia screen inakua kama ya kijivu au rangi flan za kufifia wakat muvi ya kawaida unachek tu fresh bila matatizo. Is is a problem with settings perhaps colour calibration au ni inbuilt problem? Would apreciate. Msaada, thanx!
 
Kama unaangalia hizo movie kwenye screen ya hiyo laptop ni kama unapoteza muda na hela kudownload hayo mafaili makubwa maana hiyo screen haifiki resolution ya 1080.

Kuhusu video kucheza vibaya probably hauna codec za hiyo video, unatimia software gani? Jaribu kuinstall Media Player Classic.
 
vlc, sidhan kama player ni tatizo sababu player hiyohiyo nilikua natumia kwnye my corrupted high end device.
 
mkuu download 720p movies sababu pc yako ni 768p.

kwa laptop kuplay kwa shida hd movies ni vyema ukatumia windows media player. mi nikitumia vlc pia sioni vizuri labda nifunge process zote.

na ili utumie windows media player inabidi iwe format ya mp4 hizi mkv na flv huku hazikubaliki
 
Nimekusoma mkuu, thanks chief!
 
Salam wakuu, laptop yangu juzi ilicorupt ikabd ninunue low-end lap nyingine (toshiba satellite c660-15N). Iko fresh kimtndo, tatizo ni pale napo download HD movies (1080p blueray), ukiwa unaangalia screen inakua kama ya kijivu au rangi flan za kufifia wakat muvi ya kawaida unachek tu fresh bila matatizo. Is is a problem with settings perhaps colour calibration au ni inbuilt problem? Would apreciate. Msaada, thanx!

mkuu download KMP player ni moja ya media player ambayo inahimili videos zenye high resolution ktk pc zisizo na uwezo mkubwa ki hivyo jaribu itafute na ni free utuletee feedback
 
Thanx mkuu ntaishusha leo then ntaleta feedback
 
Back
Top Bottom