MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,139
- 3,228
Kama unadownload movies za 1080 au 4K hakikisha na TV yako inasupport na hizo format vinginevyo hazitakuwa na ubora au zitakuwa zinaoneshaila sauti haitoki.
Ukisha install idm..we nenda youtube ukiplay video...idm ita pop up kisha utaclick na kuchagua quality yako then start downloadNadownload vipi kwa kutumia IDM?
Ukisha install idm..we nenda youtube ukiplay video...idm ita pop up kisha utaclick na kuchagua quality yako then start download
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Habari za pilika wana Jf, bila kuwachosha ngoja niende moja kwa moja kwenye mada yangu
Kutokana na teknolojia kuongezeka kwenye Tv zetu hadi kufika 4k, 8k n.k lakini kila nikiweka hizi video za 720 kwenye TV yangu naziona hazina ubora unaotakiwa.
Sasa nilikuwa na ombi kama kuna mtu anajua programu ya kuweza kudownload hizi video zenye 1080, au 4k tafadhari naomba msaada wako niweze kupakua mwenyewe kupitia Pc.
Kama nimekuelewa vizuru unamaanisha unataka video za 1080 ambazo zitaonekana vizuri kwenye Tv yako......i hope ina support hizo videoHabari za pilika wana Jf, bila kuwachosha ngoja niende moja kwa moja kwenye mada yangu
Kutokana na teknolojia kuongezeka kwenye Tv zetu hadi kufika 4k, 8k n.k lakini kila nikiweka hizi video za 720 kwenye TV yangu naziona hazina ubora unaotakiwa.
Sasa nilikuwa na ombi kama kuna mtu anajua programu ya kuweza kudownload hizi video zenye 1080, au 4k tafadhari naomba msaada wako niweze kupakua mwenyewe kupitia Pc.
Kama nimekuelewa vizuru unamaanisha unataka video za 1080 ambazo zitaonekana vizuri kwenye Tv yako......i hope ina support hizo video
Hapo shida sio downloader hapo changamoto ni website ya kupata hizo video......i hope zitakua ni movies na series
Kama ni movies na series sehemu nzuri ni kwenye Torrents site
Download Utorrent kisha search.....huko wana wanaweka karibu kila aina ya format na zenye ubora mbali mbali ikiwemo hiyo full hd 1080
Kama hujui kutumia torrent jifunze ujue na madhara yake pia
Mkuu kuhusu nyimbo za kibongo sina hakika wanaziupload kwenye quality ipi.....na source kubwa ya kupata nyimbo hizi ni YoutubeAhsante mkuu, ila mimi mpenzi wa video music, so hizi za 720 hazinogi kwenye Tv yangu, nahitaji nipate 1080, au 4k.
Mfano nikipata 1080,au 4k katika nyimbo zetu za bongo itapendeza.
Urudufu wa kazi za wahusika kupitia uhalisia au katika mifumo ya kidigitali ni kosa kisheria chini ya DMCA, RICA kimataifa na kitaifa COSOTA. Kufanya hivyo ni kuhujumu kazi za wahusika na uchumi wa watayarishaji na mapato ya kiserikali, adhabu yake ni faini ya TZS 1.6 Billioni na kifungo cha miaka 16 jera.
Kuacha mara moja tabia hii.Kwahiyo unashauri vipi?
Unatakiwa ku update browser yako kwanza mkuu..kisha utumie latest version ya idmHii idm ninayo huwa nadownload file zingine tu, ila ukingia youtube uki play video haileti chochote.
Tafuta app inaitwa videoder, kwa nyimbo za tz nying zipo 1080 mpaka 2160Habari za pilika wana Jf, bila kuwachosha ngoja niende moja kwa moja kwenye mada yangu
Kutokana na teknolojia kuongezeka kwenye Tv zetu hadi kufika 4k, 8k n.k lakini kila nikiweka hizi video za 720 kwenye TV yangu naziona hazina ubora unaotakiwa.
Sasa nilikuwa na ombi kama kuna mtu anajua programu ya kuweza kudownload hizi video zenye 1080, au 4k tafadhari naomba msaada wako niweze kupakua mwenyewe kupitia Pc.
Halotel Wana unlimited usku kwa 1500..unapanga zako video zote unalalawenzetu hayo mabando ya kudownload movie za 4k mnayatoa wapi? movie ya 1gb unaidownload kwa gb 10 kweliii mnawezaje?
wenzetu hayo mabando ya kudownload movie za 4k mnayatoa wapi? movie ya 1gb unaidownload kwa gb 10 kweliii mnawezaje?