[emoji1] [emoji1] mkuu kumbe wadau wa good music tupo wengi!! Big up mzee.siku zote nasikiliza choice Fm yaani huni ambii kitu
hua kuna Covers zina pigwa umo balaa
kuanzia za mbele kuja West Africa kisha bongo
aghaaaaaaah
Mkuu kumbe wewe ni mhenga wa hii redio, [emoji2] tisha sana mzee, mo j anaingia sasa baada ya dj titi kumaliza, tisha sana jombaaChoice FM was my very best radio, kitambo kuna Vanessa Mdee on the Hit List, Tandi Kathembe, Baby Kabae, ML Chris na Abby.
Tupo wengi faza, hawa jamaa wanajua wanachofanya aisee.Kumbe wanatuburudisha wengi...mi nikirudi home kulala naifungulia mpaka moningi
Kule hamna mboyoyo mboyoyo wala siasa ni ngoma juu ya ngoma mtu wangu102.5 full burudani, hawanaga maneno mengi
Wanazingua siku hizi mkuu,siyo kama zamani ilikuwa muda mwingi BBC World Service.......103.3 Kwa sasa ni BBC World service
Haaa kwakweli wasafi sijawahi kuwaelewa mkuu, angalau angalau classic fm japo wamejaza mno singeli kwenye Playlist yaoHapo awali kipindi hiko ghetto na ki-subwoofer changu cha 100k ilikua ni mwendo wa 102.5 Choice FM 24/7, Hapa Titi, Kabai, Abby na Vanessa kwa mbali Masta T (kwenye michezo) na Thei the best. Nilipenda sana jinsi program zao zilivokuwa zimesetiwa, ni mwendo wa ngoma classic all day. Kifupi walikua substitute ya Mawingu FM maana hakuna matangazo wala maneno mengi
Baadae si wakaja Wasafi fm 88.9FM kipindi kile ndio inaanza anza wakafanya kama Choice, basi ndio nikahamia usafini, baadae wamekuja ku launch vipindi mulua sana sijawah tena kurudi Choice
Mkuu umehadimika sana humu mzee.NAKUBALIIII
Sana, ndo redio yangu mda wote. Waendelee tu hvyo hivyo kwakwelKule hamna mboyoyo mboyoyo wala siasa ni ngoma juu ya ngoma mtu wangu
Sana, ndo redio yangu mda wote. Waendelee tu hvyo hivyo kwakwel