Good Aftenoon JF
hatimaye leo nimefikisha 1000 posts. haikuwa rahisi maana kuna baadhi ya thread ni trolls na zingine sina ujuzi wa kutosha kuchangia 🙁. Anyways its been 345 days since joining and I'm glad I made it this far. kwa wote waliopenda posti zangu nawashukuruni na wale niliowakwaza naombeni mnivumilie, this is my first real forum niliyodumu na kuposti as much as I have na bado najifunza 🙂. Nawatakia siku njema na amani ya Bwana iwe nanyi