10000

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,530
Reaction score
138,474
buku kumi isha katikaaa ndiyo kwanza saa nne asubuhi...dah
 
sasa naanza kumkumbuka mkapa enzi zake 2000 unatumia kwa siku na inabaki
 
Nauli ya Scandinavia mbeya-Dar nilikua nalipa 13,000' napewa soda na biscuit!! Leo hii allside, happy nation, upendo, princes muro na mengine mengi yanayofanana nayo nauli ni tsh 40,000 just imagine! Kwahali hiyo thamani ya tsh 10000 itakuwa wapi.
 
dawa ni kuufanya tu usafiri wa ungo uwe visible kwa wote na abiria wapande kawaida bila kuhitajika kuvua nguo au kupanda kinyumenyume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…