100% Original human hair

Merci

Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
92
Reaction score
139
Karibuni sana! Brazilian weaving original 100% human hair zinapatikana na unatumia bunda moja tu kusuka! kustyle, unaiseti,au kuipasi,and hata kuitong!bei nafuu sana!karibuni wote wadada na hata vijana muwanunulie wapendwa wenu!na unaweza kuletewa hadi ulipo!. Bei ni elfu 50 tu
pliz email me through merciful1984@gmail.com
 

Attachments

  • weave.jpg
    84.8 KB · Views: 972
manywele ya marehemu hayo.... Damn it!!! Wanawake wengi wa kiafrika hamnazo kabisa.. Why cant you be natural??? U spend thousands for fake beauty...!!! Ur condemned kabisa nyi watu...

NB: Msinishambulie.. Hii ni kwa baadhi tu.
 
Karibuni sana! Brazilian weaving original 100% human hair zinapatikana na unatumia bunda moja tu kusuka! kustyle, unaiseti,au kuipasi,and hata kuitong!bei nafuu sana!karibuni wote wadada na hata vijana muwanunulie wapendwa wenu!na unaweza kuletewa hadi ulipo!. Bei ni elfu 50 tu pliz email me through merciful1984@gmail.com
 
Wanaume hawayapendi!!!

Starting with my husband.

Siku nikisuka tuminyoosho ndo anapenda.

Tena afadhali nisuke rasta kuliko weaves.

Kwa vile nywele ninazo ndo atanisemaaaa kesho yake nitafumua huku nimenuna. Lol
 
manywele ya marehemu hayo.... Damn it!!! Wanawake wengi wa kiafrika hamnazo kabisa.. Why cant you be natural??? U spend thousands for fake beauty...!!! Ur condemned kabisa nyi watu...

NB: Msinishambulie.. Hii ni kwa baadhi tu.

we nae umetusemaaaa.
Hiyo username yako ni kqamba wewe ni fundi wa sex ama ticha?
 
peleka jukwaa la matangazo madogo... Ww vp?
 
inch ngap shoga? na rangi je? ndo hyo nyeus tu au zipo nying
 
Nywele za marehemu..alafu how comes uvae nywele za mtu...ladies
 
100% inamaana ni za marehemu? wewe ni freemanson itakuwa huwezi sema 100% orignal human hair. sema artificial hair
 
Hivi mtu kujibandika nywele za binaadam mwingine si uchafu huo jamani?

Halafu hao wahindi wenye nywele hizo mnawaponda huku nywele zao na rangi zao mnazitamani kwa kujibandika hata manywele ya maiti zao.

Basi mtu akishajibandika hayo manywele ya maiti na kujichubuwa ngozi anajiona kapendeza kweli kweli! inasikitisha sana.

Uchafu huo hata iweje msithubutu, puhhh mnatutia kichefuchefu.
 
manywele ya marehemu hayo.... Damn it!!! Wanawake wengi wa kiafrika hamnazo kabisa.. Why cant you be natural??? U spend thousands for fake beauty...!!! Ur condemned kabisa nyi watu...

NB: Msinishambulie.. Hii ni kwa baadhi tu.

Una uhakika hizi fake hair wanaweka wanawake wa kiafrica tu?

Karibu tuendelee
 

Unauhakika na unachokisema? Unaamini kabisa weaving zote ni nywele za maiti kweli? Hao wahindi nao hawashonewi weaving?

Karibu tuendelee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…