Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,827
Kwa wale wapenzi wa nyimbo za kikongo, hasa rhumba mtakuwa mnaujua huu wimbo, kila nikiusikiliza utafikiri umetoka jana, naurudia usiku, mchana, asubuhi n.k Jamaa alitulia sana kwenye hii nyimbo aisee, nimeipata tafsiri yake juu, ila kwa anayeijua anisaidie Jamaa alikuwa anaimba kuhusu nini hasa? Moja kati ya nyimbo bora za Rhumba