10% xtra ballot papers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

10% xtra ballot papers

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bulunga, Oct 29, 2010.

 1. b

  bulunga JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  never on earth kwamba turnout ya voters ni 100%, leo kiravu anatueleza wanaongeza 10% ya papers to cater 4 shortages, hii inaingia akilini, Mjoma mpoki anasema uchaguzi uliopita turnout ilikuwa 70%, 30% hawakupiga kura, do we really need 10% xtra ballot papers:A S-baby:
   
 2. e

  emalau JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,177
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  I suppose not, something questionable
   
 3. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  ............kama kumbukumbu haziko sawa, nisahihishwe. Sijawahi kusikia nchi yoyote dunia hii, hata uhamasishaji uwe vipi kwamba waliojitokeza kuoiga kura ni 100% ya waliojiandikisha. Kama ni 100%, still hiyo 10% ya nini? yaani 1.9 million ballot papers? NEC mtaficha wapi sura zenu mambo yakiharibika? hakika ukoo wenu (Kiravu, Makame etc) mtatafunwa na dhami hii milele na milele!
   
Loading...