sijui mahusband waliosoma hiyo article watatekeleza?
hii ni kweli kabisa na nimeshaiona mara nyingi sana, Mwanamke mara nyingi hapendi kukosolewa hata kama amekosea..take it easy wala usiwe na pressure kubwa nayehiyo namba nne sijakubaliana nayo
sio kufuatwa tu ila naomba ujue kuwa wapo wanaoishi kwa amani na upendo usioelezeka.nzuri sana ingekuwa yanafuatwa hayo mbona talaka na kuraruana kungeisha kama siyo kupungua
pia kumbuka kuwa elimu nyingi imehifadhiwa katika hiyo lugha, sasa kazi kwakoKiingereza kinachosha kusoma