Mpango bado upo kule kule kwa wagogo Ama mnajengea hapo hapo DarAiseeee, ile ya kwetu haimo? Tutajenga nyingine na siku inayofuata kama kawaida yetu utasiki vyombo vyote vya habari vikisema kuwa IKULU MPYA Ya KWANZA KWA UZURI DUNIANI....tunavyopenda kuwa wa kwanza....
Most what....beautiful? Expencive?View attachment 320969
uganda.
View attachment 320970
Senegal
View attachment 320971
Mauritania
View attachment 320972
Sudan Khartoum
View attachment 320973
Madagascar
View attachment 320974
Ghana
View attachment 320975
Namibia
View attachment 320976
South Africa
View attachment 320977
Egypt
View attachment 320978
Cameroon.
#ndio maana kasumba ya maRais wengi wa Africa ni kuishi ikulu milele
Edit basi title ya postBeautiful and Expencive
Hii ya Namibia imekaa kizungu zaidi...Hiyo ya Misri muonekano wake kama Ule wa USA...Mkuu mbona hata ya JPM nayo ni nyeupe.
Nadhani rangi nyeupe inaakisi dhana ya usafi/utakatifu/uwazi
Daa mkuu, hivi kulikuwa na haja ya ku quote picha zote hizo?...Most what....beautiful? Expencive?