englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
hahaaa nakumbuka nshawahi kuambia before sijakutokes nilikaa nikakudesign then nikafanya test ndo nikakutongoza..lol...
kuna ukweli hapo unaowahusu.
ha ha ha, alitestia wapi?
Umenichekesha kwa kweli
hahaa yaani we acha tu... alitestia kichwani kwake baada ya kugundua kuwa nameet specifications zake..
Kongosho ukikutana na injinia utafurahi sana..
kuna siku tulikua aliniambia sijuii nini gravity free yaani raha tupu...he never bores me....
Engineer will endup regitering you (marry you) if you give him a chance as it is the ethic for them
hey you! hii inatwa profeshen koling.... you have been warned!!
Kiukweli kabisa my Little Angel ningeweza kuja, tatizo mie ako veeeeeeery busy...!
Na katika yooote hayo, ulihakikisha amekonsida factor of safety?:becky::becky::becky:hahaa yaani we acha tu... alitestia kichwani kwake baada ya kugundua kuwa nameet specifications zake..
Kongosho ukikutana na injinia utafurahi sana..
kuna siku tulikua aliniambia sijuii nini gravity free yaani raha tupu...he never bores me....
Na katika yooote hayo, ulihakikisha amekonsida factor of safety?:becky::becky::becky:

![]()