10 feminist jokes about men

Daaahh
naona umeishusha hiyo
mistari si mchezo. Asante
mtoto mzuri hahaahah lol
lakini Ivunga wangu swali
kama lile utajibu tu nini dear?

Nway mie weekend
Nimeichukia sababu
Waliniita kazini (on call)

My dear I hope u had a wonderful weekend..
 
week end ilikuwa pouwa,
tuachane na lile swali dear coz halijakaa sawa offcourse but hata yeye tunaweza kumuuliza hilo hilo swali lake.
ngoja nilale dear si unajua foleni za badae asubuhi? nadhani kwenu ni jioni tu sa hivi, D: (joke)
 
Haya
Asante ae
lala salama
tutaonana kesho.
sweeeety dreams
mwaaaaaahhhhh.....
 
Hey
watch your mouth
Naona umejifunza kitukana leo..
sasa hapa si sehemu ya ku practice
matesi yako..hili ni jukwaa la utani ..
kama waona huu utani haukufai chapa mwendo
usituchafulie jukwaa..

Asante sana Dear,
Jinsi nilivyokasirika nilishindwa kusema lolote kwa kuhofia ningetukana kushinda yeye. Malezi na maadili yangu haviniruhusu.
Nilichofanya nilimgongea ASANTE.
Have a nice week dear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…