Is dreaming a reflection of what you have been thinking or seeing all along the day? or upcoming things? magical situations? can someone help on this?
ntajitahidi kuelezea kama ifuatavyo;
for u to remember anything, ur brain has to be active, haidhuru kama ulikuwa macho au usingizini. kukumbuka ndoto yoooote au sehemu kubwa ya ndoto uliyoota kila mara inaashiria kwamba ubongo wako haupumziki as much as it is supposed to.
ila zipo incidences chache ambapo mtu anaweza kukumbuka ndoto yake for instance ukiota a veeeery sweet dream or u had a terrible night mare. it happens mara chache na siyo mbaya ila inapokuwa mtu almost kila ndoto anayoota anakumbuka, tena anakumbuka nukta nyingi za hizo ndoto, si kitu kizuri kwa afya ya ubongo.
asante mkuu nimekupata,
kuna vitabu vichache nimepitia vya psychology na documentaries kuhusu ndoto, wanashauri kuwa ni vizuri kukumbuka ndoto zote uwezavyo na kama unashindwa wanatoa guidelines namna ya kukumbuka uwe unalala na note book au diary ukiamka tu unaanza kujihoji nini uliota na kuandika. sasa kama it is unhealth to our brain kwakuwa tunachosha brain, labda turudi katika swali la msingi why dreaming? kwa mimi naamini zipo sababu za msingi na ndio maana wataalamu wanashauri tuwe na tabia ya kutopuuzia dreams wengine hupata mambo mazuri ya maendeleo kutoka katika ndoto zao. japo nyingine they are nothing but so sense less stuff.
sijui mwenzangu wasemaje.

During my 20's nilikuwa naota kuruka/kupaa angani sana (almost kila wiki ilikuwa lazima nitaota ndoto ambayo mimi nakuwa naruka angani!). Siku hizi imepungua sana ingawa inatokea mara mojamoja....they tend to have common themes in dreams like being chased,flying,teeth falling out,a person alive bein dead,......
During my 20's nilikuwa naota kuruka/kupaa angani sana (almost kila wiki ilikuwa lazima nitaota ndoto ambayo mimi nakuwa naruka angani!). Siku hizi imepungua sana ingawa inatokea mara mojamoja.
Dah...kwa hiyo nimeshavunja 'mwiko'? Poor me! Lolzwanasema hizo ndio ndoto nzuri
na usiwaambie waambie watu lol
Wataalamu?
wataalamu wapi hawa?
mimi ninavyojua wanaosema ndoto zina maana sio scientists
ni watu wa imani,na hivyo vitabu vyako can u share titles?
mkuu
huwezi kuamini ni scientist wanasema hivi tafauta kitabu ya introduction to psychology i will give you the auther and year, or kuna kingine kinasema introduction to philosophy of mind ed 1 nayo nitakupa full titles humo ndani wanajadili kwa kirefu topic ya dream and kila kihusicho wanataaluma wanatoa hoja zo kadha wakadha hata ukigooogle utapata haya ninayokwambia mkuu. sasa nipo ofisini sina details zote but i promise to give you one.
na tafuta pia sigmund freud and his intepretation of dreams utaona mambo mengi mazuri kuhusu ndoto na ya ajabu. na huyu ni famous scholar.
Dah...kwa hiyo nimeshavunja 'mwiko'? Poor me! Lolz
kumbe inawezekana hata shekhe yahya alikuwa
ana desa kina sigmund freud?
anyway nasubiri unipe hizo infos thanx?
Wataalamu?
wataalamu wapi hawa?
mimi ninavyojua wanaosema ndoto zina maana sio scientists
ni watu wa imani,na hivyo vitabu vyako can u share titles?
wow! Irony Lady thanx kwa somo, inakuwaje mtu anazungumza usingizini lakini hakumbuki chochote icpokuwa anaambiwa tu na waliomsikia nisaidie kwa hilo mkuu
mkuu,
ninachoweza kusema mtu huyu anakuwa unconscious hajui nini anafanya kwa wakati huo na hawezi kujicontrol kufanya anayoyafanya kwa sababu akiwa hajalala consious mind inamuongoza nini afanye au asifanye kwa rational thinking yake. sasa anapolala anakuwa katika subconsious mind of which hawezi kujicontrol kufanya au kusema ndio maana wengine wanatoa siri zao bila kujua wakija kuambiwa wanatoa macho na kufedheheka.
freud akieleza theory yake ya dream anadai kusema hivi unaweza ukawa unampenda mtu ukilala subconsious mind yako inareveal hiyo truth na kukuonesha dhahiri kuwa unampenda mtu fulani au unafeelings na mtu fulani, lakini ukiwa macho mind yako inaweza kujidanganya kuwa humpendi kwa sababu matendo yako yanakuwa controled na active mind yako unajidenie uhalisia wa hisia zako.
ukilala all that you hide zitajidhihirisha through dreams au matendo yako wakati huo.
mkuu ninaweza kueleza hayo wengine watanisaidia zaidi.
unajua mkuu hiki kitu ndoto kina michanganyiko mingi na complex kwa scientist kama kilivyo kile cha death, nao wamekuwa wakitumia muda mwingi kujifunza day to day complexity of dreams in human life. hivyo there are alot of explanation and critics of dreams meaning and interpretation
Is dreaming a reflection of what you have been thinking or seeing all along the day? or upcoming things? magical situations? can someone help on this?
U havent talked anything concerning the dreams in which God disseminates his message to men.