Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,090
- 15,113
Wamemburuza mahakamani ila sidhani kama watapata haki yao
Hatapata sababu serikali ni yao na kila kitu ni chaoWamemburuza mahakamani ila sidhani kama watapata haki yao
Mwisho wa siku kwa mahakama hizi watakuwa wanapoteza mda waoHatapata sababu serikali ni yao na kila kitu ni chao
Wewe ndiye gundu. Watanzania wana msapoti Makonda. Sandalandi ana ujinga ujinga. Ilikuwaje afanye press?? Je kuna kipengele cha kuitisha press??? Idiot kabisa. Na bado. TRA watamtembelea ili kuona mapato yake na kodiHuu ndio ukweli wote, suala la jezi za timu ya Taifa ni jambo la TFF tu, wala si suala la waziri.
Kilio cha Makonda ni dhahiri kuna jambo la posho nyuma yake na ni aibu sana kwa mamlaka yake ya Uteuzi, Ilipaswa afukuzwe kazi mara moja.
Waziri wa michezo si waziri wa soka pekee, hata kama kwenye soka ndio anapata umaarufu.
Kumvurugia Sandaland hakutamnufaisha chochote Ndugu Makonda, zaidi kutamuongezea gundu
Kisa tu 10%Wewe ndiye gundu. Watanzania wana msapoti Makonda. Sandalandi ana ujinga ujinga. Ilikuwaje afanye press?? Je kuna kipengele cha kuitisha press??? Idiot kabisa. Na bado. TRA watamtembelea ili kuona mapato yake na kodi
Bashite NTU YA DILI sana ,kiboko yake GSM alitaka kumpasua FUVU kwa DILI ya Nyumba Ursino Street.Huu ndio ukweli wote, suala la jezi za timu ya Taifa ni jambo la TFF tu, wala si suala la waziri.
Kilio cha Makonda ni dhahiri kuna jambo la posho nyuma yake na ni aibu sana kwa mamlaka yake ya Uteuzi, Ilipaswa afukuzwe kazi mara moja.
Waziri wa michezo si waziri wa soka pekee, hata kama kwenye soka ndio anapata umaarufu.
Kumvurugia Sandaland hakutamnufaisha chochote Ndugu Makonda, zaidi kutamuongezea gundu
Sandalandi jinga kubwa. Alitakiwa atambue hilo. Pia unaangalia upepo wewe kaambiwa hakikisha unafanya partnership na watu wanje etc. ila hap wanasheria wake wajinga mno mno, mikataba mingi huwa ina vipengele kibao. Ni wazungu tu ndiyo huchungulia mikataba in details. Ila hawa wahuni wa bongo hamna kituKisa tu 10%