10 African countries with most beautiful women

Mungiki kwa tafiti zao za ajabu ajabu hawajambo,mijinamke yao ilivyo ovyo ovyo namna ile cjaona kigezo cha kuwepo kwenye hiyo list
 
Eti Kenya wa pili huyo mwanamke mwenyewe aliomuweka sasa kaa ushuzi ! bora angemuweka vera, yaani Kenya kila kitu wao, na ushoga basi mjitangaze u a the best!
Vera Sidika na sura yake mbaya! Makalio tu na michirizi ndio full......labda ungesema.....wait.....I can't think of anyone!
 
mbona wote sio wa-africa. minawaona wote chotara na sio native african
 
.........Kwani walioweka hiyo list wamesema hizo picha ndo muonekano wa wanawake wa nchi husika kwa 95%?.


Elewa kichwa cha habari kinasema ,,African Countries with most Beutiful Women" maana yake ni kwamba huyo mwanamke ambaye amewekwa hapo anawakilisha wanawake wa TanZania, kwamba ukichukuwa sampuli ya wanawake wote TanZania kwa kutumia Gaussian curve wengi wao ni lazima waonekane kama huyo wa kwenye Picha!

Jambo ambalo SIYO kweli, wanawake wa Kitanzania hawana huwo muonekano, kwanza unaweza ukasafiiri ktk Mtwara mpaka Mwanza na usikutane na Mwanamke mwenye huwo muonekano, Hivyo siyo huyo mwanamke wa kwenye Picha haonekeni na wala hafanani na Wanawake wa Kitanzania!
 
Somalia je mbona haimo? Nigeria ina mushkel kidogo
 

Tz ya nne???? Mamaaaaa.. Ila mbona hzo picha zmepgwa editing saaaana
 
Fake skin color , fake nails , fake hair ndio urimbwende wa siku hizi ...
 
Pcsxssssssxssssc...uzandiki huu hao waKenya..kwa uzuri upi..Vikomwe tu..Toa Kenya weka Rwanda..Toa Congo weka Angola..Toa Zimbavwe Weka Somalia..
 
Umefika wakati warembo wetu wajitokeze miss chaga,lala1,cute b,..nk nk mjitokeze tushike namba 1 maana kenya haiwezi kuwa namba 2 afu tz no 4 hiyo mbili yetu nne ya rwanda basi.
 
Pcsxssssssxssssc...uzandiki huu hao waKenya..kwa uzuri upi..Vikomwe tu..Toa Kenya weka Rwanda..Toa Congo weka Angola..Toa Zimbavwe Weka Somalia..

Katika Wachangiaji Wote Wewe Ndo Umeongea Pointi.Katika Nchi Za Kiafrika Zenye Wanawake Wazuri.Husipoiweka Rwanda Na Angola Wewe Lazima Utakua Na Mtindio Wa Ubongo.
The List Should Be This
1.Ethiopia
2.Rwanda
3.Angola
4.Somalia
5.Tanzania
6.Misri(Egypt)
7.South Africa
8.Nigeria
9.Kenya
10.Cameroon
 
Rwandaaaaaa ndo namba moja then Ethiopia harafu Bongo hio Kenya ovyo kumejaa lesbians tu

1.ethiopia 2sudan 3rwanda.. wanawake wa rwanda unaowasifia asili yao ni ethiopia
 

Toa tz weka sudani,toa kenya weka swazilend,toa cameroun weka mali...misri tupa huko sio waafrika
 
Toa tz weka sudani,toa kenya weka swazilend,toa cameroun weka mali...misri tupa huko sio waafrika

Sudan Wengi Wao Ni Wanubi Weusi Kama Mkaa.Na Wako Katika Ukanda Wa Jangwa La Sahara.Jua Kali Linawapausha.
Swaziland Population Yao Ndogo Sana Haizidi Mil.5 Kwahiyo Huwezi Kuwapambanisha Na Kenya Wenye Populationa Ya Zaid Ya Mil.30.Istoshe Wapo Wakenya Wengi Ambao Ni Mixed Somalia
Mali Na Senegal Hakuna Wanawake Wazuri.Wengi Wao Ni Weusi Na Midomo Mikubwa Iliyokauka.Na Walikua Chini Ya Mkoloni Mfaransa.Huwezi Kuwafananisha Na Wacameroon Ambao Ni Mixed Ubelgiji(Belgium).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…