okay okay!.....
kwa hiyo mnaniambiaje sasa?
kwamba dkt slaa akagombee HANANG ili arudi bungeni au afanye operesheni-kibua ya nchi nzima NYUMBA-KWA-NYUMBA kwa maandalizi ya 2015?
ninavyojua mimi HANANG atashinda tu
ahsante sana ADUI!
bila shaka isingekuwa wewe na king nisingepata ban
ha ha ha!Naona ni mdogo mdogo lakini safari inasonga mbele..long live ISC!!!
Ila hayo mananeo mtamu yakianza kuadimika kama maji ya DAWASA msipate shida..njooni babu zenu tutawapa ushauri.
Anyway...Kijana hongera kwa kazi nzuri...10000 hits si mchezo.
DC
Hili nalo ni neno maana kuna ukweli ndani yake sisi tuna vipost 500 tu lakini kila ukilog out unaenda kukanda vidole na maji ya moto sasa wenye 10000+ duh but anyway hongera teamo kwa kuwa active member na kuninyanganya bibi wa wajukuu zangu
sasa kama huweki thanks unategemea nini sasa?
mpwa bana
ha ha ha!
saa meja SHUKRANI SANA!
sasa shida inakujaje kwamba upo mujini?
Naona ni mdogo mdogo lakini safari inasonga mbele..long live ISC!!!
Ila hayo mananeo mtamu yakianza kuadimika kama maji ya DAWASA msipate shida..njooni babu zenu tutawapa ushauri.
Anyway...Kijana hongera kwa kazi nzuri...10000 hits si mchezo.
DC
Naona ni mdogo mdogo lakini safari inasonga mbele..long live ISC!!!
Ila hayo mananeo mtamu yakianza kuadimika kama maji ya DAWASA msipate shida..njooni babu zenu tutawapa ushauri.
Anyway...Kijana hongera kwa kazi nzuri...10000 hits si mchezo.
DC
ha ha ha ha!kwa niaba ya mume wangu MWENYE BUSARA KM SOLOMON,MWENYE NGUVU KM SAMSON ,HANDSAM KM YUSUFU NAPENDA KUSEMA ASANTE ...kwwa pongez DC na wengneo woooooooote
usengwile
karibun kwemye part nilioandaa kumpongeza ma hubby pale ...venue ntataja badaye ..maadui wasje enda weka magogo yao bure tushndwe kupita na tukutuku yetu....
Usiwe na shaka,
J2 nitakuwa ndani ya house..tutafutane mida ya supu!
Ila Rose usije naye...anakonyeza konyeza na sisi wababu tuko very vulnerable na mambo ya namna hiyo!
kwa niaba ya mume wangu MWENYE BUSARA KM SOLOMON,MWENYE NGUVU KM SAMSON ,HANDSAM KM YUSUFU NAPENDA KUSEMA ASANTE ...kwwa pongez DC na wengneo woooooooote
usengwile
karibun kwemye part nilioandaa kumpongeza ma hubby pale ...venue ntataja badaye ..maadui wasje enda weka magogo yao bure tushndwe kupita na tukutuku yetu....
ha ha ha ha!
unajua wifey wangu (zamani wa roya) unanifurahisha sana!
i will be laughing kwa kila post yako moja
DC muzeee umepotelea kona ya wapi
will answer that for her.....!
hatutakuja na hiyo avata
hahahaha!saa meja labda kwa kujikumbusha tu:Kijana sasa unanitisha...kumbe ni mwendo wa ISC na mduara?
Weee acha tu ndugu yangu..Muulize Dogo Teamo anajua walau kidogo masahibu yangu..ila sasa ngoma inakaa sawa..J2 lazima supu ipigwe ingawa sijachagua kiwanja.
Una ushauri wowote hapo?
Ahsante sana Rose...ila sasa nilishakupiga ban..itakuwaje?