olele JF-Expert Member Joined Dec 2, 2010 Posts 1,305 Reaction score 1,578 Feb 8, 2016 #2 dah acha kabisa
Y ydn JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 2,092 Reaction score 1,411 Feb 9, 2016 #3 Dah!! Nazikumbuka hivi noti. Thanks Mkuu
Capitano JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 1,959 Reaction score 1,636 Feb 9, 2016 #4 Duuuh umenikumbusha mbali sana. Niliwahi kuokota hiyo noti moja basi ilikuwa balaa. Maana nilinunua raba na nikamnunulia mdogo wangu raba pia. Baada ya hapo nikaenda na dogo hotel kula bata na bado chenji ( eee ni chenji ) ikabaki
Duuuh umenikumbusha mbali sana. Niliwahi kuokota hiyo noti moja basi ilikuwa balaa. Maana nilinunua raba na nikamnunulia mdogo wangu raba pia. Baada ya hapo nikaenda na dogo hotel kula bata na bado chenji ( eee ni chenji ) ikabaki
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,151 Reaction score 40,921 Feb 9, 2016 #5 Mshahara wa mtu huo nyakati hizo....
real G JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 5,227 Reaction score 5,303 Feb 9, 2016 #6 hiyo ndio ilikua na thamani na dollar 100 za marekani, yaani exchange rate ilikua ni 1 tsh/1usd