1 trending Tanzania (hii ni nafasi ya WCB kwa nini mjisumbue kushindana nao?)

Ukute kijana hata hela ya kula huna. Unabaki kutoka mishipa ya shingo wenzako wanavyoingiza hela kwa kupata viewers wengi. Siku mkija kujitambua vijana wa TZ kuwa kuna maisha yako binafsi na hao wanamuziki ni watumbuizaji tu mtakuwa mmchelewa sana
 
😂😂😂😂 Inaonekana una ugonjwa wa Trending no.1, kwa ukubwa wa diamond na followers wake lazima a trend tu


Ila bado nyimbo zake za sasa hazijatoboa na kuna ambayo ilichechemea ku trend..achilia mbali ile iliyofutwa kwa kuba bit

Pamoja na kuwa nyimbo hizo zote zina ad, diamond ana advertise na bado ana followers wengi


Kiba ana subscribers chini ya laki tano, wakati diamond anao zaidi ya 3m unaona gap hili

Kiba hana ad kwenye nyimbo zake diamond ana ad


Kiba is strong, na mashabiki wake ni loyal mno, yaani Kiba hakutakiwa hata kuingia trending

Fact kuwa ana followers wachache sana, hatangazi nyimbo zake utube na bado anaweza kunusa namba moja, huyu sio wa kumdharau ...Diamond anajua hilo sana


Pia wake wengine jamani...wanatoa miziki kila siku na hauoni iki trend
Mkuu umedrop pumba Sana ,
 
Platnum member kuleta utimu ni aibu kubwa.
Kwani ku advertise ni kosa??? Huyo Kiba kilichomfanya asitumie account yake yenye subscribers wengi ni nini???
Halafu kumbuka hiyo nyimbo ime trend kwa sababu ya Madongo yake, mashabiki gani loyal wametelekeza nyimbo zake mtandaoni. How come seduce me ina views million 10 ikiachwa kwa views million 30 na zilipendwa ambayo mara ya kwanza iliipita???

kwahiyo milioni 10 ni views chache!!!
 
Ukute kijana hata hela ya kula huna. Unabaki kutoka mishipa ya shingo wenzako wanavyoingiza hela kwa kupata viewers wengi. Siku mkija kujitambua vijana wa TZ kuwa kuna maisha yako binafsi na hao wanamuziki ni watumbuizaji tu mtakuwa mmchelewa sana
mkuu kuwa fans haimanishi watu hawana pesa, kuna muda maisha yanahitaji relaxation, ujue kila mtu ana njia yake ya kujiburudisha wengine hujiburudisha kwa kufuatilia mpira, kunywa pombe, bet, kufuatilia kazi za wasanii na nk...
 
Hata Alikiba kashacopy kutoka kwa Diamond, kuvaa Masuti kwenye video zake , hio kitu iliaanzwa na Diamond kitambo naakaacha
 
Back
Top Bottom