Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,505
- 9,954
Sawa meneja kipenzi, kura zisipotosha unajua kitakachofuata 😅😅
Kuheshimiana ni muhimu mkuu..Ni vile tu nakuheshimu ndugu
Hahahaha najua na kazi ninayo kwa kweli😁Sawa meneja kipenzi, kura zisipotosha unajua kitakachofuata 😅😅
Na wewe ni Kati ya chawa wachache mno ninayo waheshimu ,hao ndugu zako wengine nawaona goigoi tuKuheshimiana ni muhimu mkuu..
Wewe ni nyumbu unayejitambua... hongera sana.Na wewe ni Kati ya chawa wachache mno ninayo waheshimu ,hao ndugu zako wengine nawaona goigoi tu
Binti wa zamani anatisha sana ,mada zake zinalegeza ubongo maisha ni haya haya tu bwasheeBinti wa zamani nae yupo vizuri kwenye dunia yake sipati picha kama thread zake zingekua zinasapotiwa kwa kiwango kikubwa na Kapeace. Madame B. Mama Sabrina. mbalizi1. DeepPond. Nusratt.
Sawa chawa😁😁Wewe ni nyumbu unayejitambua... hongera sana.