01/02/2014

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Shaloom Mpendwa!
Namshukuru sana Mungu aliyekuwezesha kumaliza salama mwezi wa 1 na tayari umeingia mwezi 2! Haijalishi unayoyaona na kuyaptia, bado endelea kuliitia jina la Bwana Mungu wa Israeli nalo litakutendea makuu!
Isaya 43:16, 26.
Nakutakia mwezi mwema!

"Tumtukuze Mungu Kwa
Ujumla Wetu Wote!
 
Shaloom, kila la kheri katika maisha yake yote
 
Amen Amen, nawe pia uwe na mwezi mwema Mungu akulinde na mabaya yote.
 
AMEEN

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Asante Mungu kwa kuniwezesha kuumaliza mwezi wa 1 salama,nakuomba uzidi kunijalia baraka zako.

Asante pia kwa ajili ya huyu mtumishi aliyeanzisha uzi huu,ee Mungu mjalie baraka!
 
Amina,ubarikiwe sana @ sungura,na wote mnao zidi kubarikiwa na kuguswa na maneno ya mungu,mkono wake bado haupungui juu yetu,tuna thamani kubwa sana mbele yake,hivyo usiogope dhalau za wanadamu kwani uhai wako hauko mikononi mwao
 
Amina,ubarikiwe kwa kutukumbusha mpendwa
 
ivi hii nayo ni jukwaa la mmu?? shem on u
 

baada ushukuru boss zako kukupa mshahara mapema na haudaiwi kodi ya pango unaleta mambo gani hapa sasa..
 
Thank you for a nice message, Glory be to GOD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…