ziwa

Ziwa is an archaeological site in Nyanga District, Zimbabwe, containing the remains of a vast late Iron Age agricultural settlement dated to the 15th century. Ziwa was declared a National Monument in 1946 and is currently under consideration for World Heritage listing. The site contains a large variety of stonework structures including stone terraces running along contours of hills and steep landscapes. Archaeological investigations have also uncovered important aspects of pottery and rock art.
Before the declaration of the site as a National Monument, Ziwa had been part of the commercial farms area and was thus under private ownership. A great deal of damage or degradation of antiquities may have been wrought during this period as the farmer used the property as a cattle ranch. Currently a site museum (with tourist facilities such as camping, guided tours, walking trails, bird viewing, etc.) has been established to represent the Ziwa heritage and other archaeological sites in the Nyanga district.
Despite the abandonment of the site by its inhabitants in the 18th Century, Ziwa continued to be of significance to the later communities that settled in its neighbourhood.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa Boti za Kisasa za Uokoaji na Kuzima Moto huko Ziwa Nyasa

    Boti hiyo yenye injini mbili zenye nguvu ya jumla ya HP 500 na uwezo wa kubeba abiria 12, itaongeza uwezo wa mamlaka kukabiliana na dharura Ziwa Nyasa, kuokoa maisha na kuimarisha usalama wa wasafiri pamoja na shughuli za usafiri majini.
  2. J

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Kanda ya Ziwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kuunganishia Wananchi umeme bila kutoa sababu ya msingi

    TANESCO Kanda ya Ziwa, hususan mikoa ya Mwanza, Mara, Geita na Shinyanga, tunaomba msikilize malalamiko ya wananchi na wateja wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya umeme. Maombi ya kuunganishiwa umeme yamekuwa yakichukua zaidi ya miezi sita bila hatua za msingi kuchukuliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mara pap uganda ifunge mto nile usitoe maji ziwa victoria kwa mwezi 1

    Unaisi nini kitatokea 1.. 2.. 3.. 4.. Narudi kupitia majibu
  4. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Katibu Mkuu ACT Wazalendo yafanya kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa

    Chama cha ACT Wazalendo kimefanya kikao baina ya Ofisi ya Katibu Mkuu na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa ya Simiyu, Mara, Kagera, Mwanza, Geita, Shinyanga na Mkoa wa Kichama Kahama kwa ajili ya kuweka mkakati wa pamoja wa ujenzi wa Chama Kanda ya Ziwa. Mbali na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndg...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hili suala la RC Chacha Kanda ya Ziwa tumeitisha kikao cha Dharura siku ya Jumamosi

    Sisi Wayebusi tumesikitishwa sana kusikia jambo hili na tumeshirikiana na Mwenyekiti wa Wanaume wa Kanda ya Ziwa kuitisha kikao siku ya Jumamosi kujadili hili jambo ambalo bwana Chacha amelianzisha. Wadau wengi wamepiga simu wakiwa na maswali kadhaa kuhusiana na Bwana Chacha wanaume kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kauli kuhusu Mwekezaji Tim Draper kutangaza kukiuza Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika

    TAARIFA KWA UMMA KUH: KISIWA CHA LUPITA KILICHOPO KATIKA ZIWA TANGANYIKA, ΤΑΝΖΑΝΙΑ Dodoma 31 Agosti 2026 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeona kupitia mitandao ya kijamii taarifa kuwa mwekezaji Bw. Tim Draper anakusudia kuuza ardhi katika kisiwa kilichopo Ziwa Tanganyika nchini...
  7. JamiiForums Tanzania KANDA YA ZIWA NA MAGHARIBI: SERIKALI ITUAMBIE KWANINI BEI NI JUU?

    Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Magharibi mwa Tanzania ni sehemu muhimu ya uchumi wa nchi. Tunazalisha chakula, madini, mifugo, samaki na bidhaa mbalimbali, lakini wananchi wa maeneo haya wanaendelea kukabiliwa na bei kubwa za bidhaa na gharama za usafirishaji. Swali ni: Kwa nini mwananchi wa Mwanza...
  8. JamiiForums Tanzania Angekuwepo Magufuli, bei ya cement isingefikia Tsh 28000/= kanda ya ziwa

    Kanda ya ziwa Victoria inafanyiwa harassment ya kisiasa sana. Maisha yapo juu hususani bei ya cement. Kwa miaka nenda rudi bei ya cement ni tatizk kubwa kanda ya ziwa. Leo hii imefikia Tsh 28000/= Hii yote ni kwa sababu gharama za usafirishaji kwa kutumia malori ni kubwa ndio maana bei ni...
  9. JamiiForums Tanzania Tanesco mnatuhujumu wakazi wa Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla

    Tanesco mnafanya nini ofsini Sisi watu wa Mwanza na Kanda ziwa tumewakosea nini awamu hii Leo siku ya 3 mnakata umeme alfajiri mnarudisha umeme saa 4 usiku Hivi mnajua mnauwa uchumi kiasi Gani wa vijana waliojiri kupitia huduma hii ya umeme Vijana wa welding, saloon, aluminium...
  10. JamiiForums Tanzania Vifaranga Vya Samaki Milioni 1.5 Vyapandikizwa Ziwa Rwakajunju - Karagwe

    Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kuwawezesha wananchi wa Wilaya ya Karagwe kuanza kunufaika na uchumi wa buluu kupitia zoezi la upandikizaji wa vifaranga milioni 1.5 vya samaki aina ya sato katika Ziwa Rwakajunju lililopo...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wa Kanda ya ziwa hebu naomba mnijibu hili swali kuhusu fisi

    Je, fisi anaona usiku? Kama anaona anajuaje kama binadamu haoni usiku? Nani anamwambia? Nasema hivi kwa sababu kule Shinyanga ukipita mida ya usiku unakuta fisi kajibanza tu sehemu kwa kuamini kuwa humuoni, lakini mchana hafanyi hivyo. Anajuaje kwamba binadamu usiku haoni? Seran, Shytown.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na sensa ambayo ni makadirio, kuna ukweli Kanda ya ziwa inaweza kuwa ni robo au zaidi ya population ya Tanzania ?

    Ni mikoa ambayo ya kanda ya ziwa birth rate ni kubwa sana, kuna uwezekano ni robo au 1/3 ya population ya Tanzania ? Kagera, Geita Mwanza, Shinyanga, Simiyu Mara
  13. JamiiForums Tanzania Madai ya kutolipwa posho Kanda ya Ziwa, TEMESA yasema Meneja wa Vivuko ameshawajulisha kuhusu hali ya mapato kuwa madogo

    MAJIBU YA MALALAMIKO YA WATUMISHI WA TEMESA KUTOKA JAMIIFORUMS LALAMIKO Hoja ya Mdau iliyowasilishwa awali ~ Watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi hatujalipwa stahiki zetu. Tumechoshwa na ahadi zisizotekelezeka LALAMIKO “Majukumu tunayopewa hayazingatii mapumziko ya...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakabidhiwa Boti ya Kisasa Mkoani Katavi itatumika kuboresha ulinzi Ziwa Tanganyika

    Makabidhiano ya boti ya kisasa kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kuimarisha shughuli za ulinzi na usalama katika mwambao wa Ziwa Tanganyika, hatua inayolenga kudhibiti vitendo vya uhalifu na kuongeza usalama wa wananchi wanaotegemea ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi...
  15. JamiiForums Tanzania Labda kama exposure imebadilisha watu ila watu waliokuwa wanaoa wanawake wa jamii zilizopo kando kando na visiwan mwa ziwa victoria walikuwa wanakiona

    Hapo ulikuwa una 80% ya kulishwa mavitu vya kishirikina, kuchapiwa mtaani, kulea watoto sio wako, vikao vya mara kwa mara vya ugomvi wa mke na mawifi au mama na ilikuwa unakufa mapema sana. Pia ni wanawake walikuwa wanasifika kwa kuvunja ndoa za watu, wenye visa sana na wepesi sana kurukishwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  17. JamiiForums Tanzania KWELI Maji ya ziwa victoria hubadilika rangi kwa baadhi ya nyakati

    Katika baadhi ya nyakati, wakazi wa maeneo ya kanda ya Ziwa, hususan wilaya ya Ukerewe, wameripoti kushuhudia maji ya Ziwa Victoria yakibadilika rangi na kuonekana ya buluu kijani kibichi chenye mchanganyiko wa bluu Hali hii huwavutia na kuwashangaza wengi kutokana na kutokuwa ya kawaida. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO Nawasilisha
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KWS Yatoa Onyo: Samaki wa Ziwa Nakuru Si Salama kwa Matumizi

    Shirika la Huduma za Wanyamapori Kenya (KWS) limewaonya wananchi dhidi ya kula samaki kutoka Ziwa Nakuru, likisema wanaweza kuwa hatari kwa afya ya binadamu. Katika taarifa kali, Mkurugenzi Mkuu wa KWS Erastus Kanga alisema hali hiyo ni kama janga la kitaifa la afya, akionya kuwa samaki wasio...
  20. JamiiForums Tanzania Kukamilika kwa Meli nne za mizigo, fursa Ziwa Tanganyika

    KUKAMILIKA kwa mradi wa ujenzi wa meli nne kubwa za mizigo katika Bandari ya Karema ni fursa kwa wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika ya Rukwa, Katavi, Kigoma na kuongeza kipato cha kaya na Taifa. Ujenzi wa meli hizo ulianza Aprili 2025 na ukitarajiwa kukamilika Julai 2026. Mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…