Sijawahi kuwaona CNN ,DW wala BBC wakiwa karibu na nchi yetu kiasi hiki
Tume kuwa tukifanya mazuri mengi hata mabaya vyombo hivi havijawahi kuonekana kujikita na taarifa za nchi yetu
ila wakati huu wamekuwa mstari wa mbele sana kurepoti vya kweli na visivyo vya kweli kwa ukaribu na userious...
Katika kipindi Cha miaka 4 ya Serikali ya RAIS Samia
Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe.
#KurayakwanzakwaSamia
#Haijapatakutokea
Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe.
#KurayakwanzakwaSamia
#Haijapatakutokea
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA.
Akizungumza nje ya Mahakama...
Kuna watu wanajua X na Y zipo kwenye elimu tu kumbe tunazo kwenye maisha tunazitumia kila siku mfano kujua upana wa chochote kwa nini unatumia kujua urefu na upana.
Ushawahi kuulizwa graph yako imeshuka kazini au uchumi unakwendaje basi utakuta X na Y.
kama unabisha muulize dalali wa nyumba
Tangu jana Yanga watoe matangazo ya kuendelea na msimamo kila mtu anapaza sauti hadi wakina mama tena kwenye hizi public transport imagine.
Ila mijadala yenye afya kuhusu mustakabali wa taifa, yanayofanywa na CCM, watu kutekwa, kupotea wala hawajadili kwa sauti tena wanafanya kama hawahusu eti...
Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia ikiwemo kupata saratani ya uzazi, ujauzito kutoka, kutokwa na damu nyingi au kidogo.
Amesema hayo...
Niaje wakuu
Hii nimesikia mtu akikukuta unatumia iPhone anasema kuwa iPhone ni simu za wadada, au Tecno na Infinix "za wamama"!
Kuna ukweli wowote katika hili?
Cc: Samsung & Pixel Fans
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.