zimamoto

Zimamoto Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji latoa majina 250 ya waliochaguliwa kwenda mafunzoni

    Zimamoto wametoa majina ya waliochaguliwa kwenda mafunzoni 250 kama ulifanya interview pita kwenye vituo vyao uangalie jina lako.
  2. J

    Tanga: Ramadhani Kailima alipongeza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kukiendeleza Chuo cha Zimamoto kilichopo Chogo, Handeni

    KAILIMA ALIPONGEZA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KWA KUWA WABUNIFU, AZINDUA MIRADI MBALIMBALI CHUO CHA CHOGO, MKOANI TANGA NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima amelipongeza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kukiendeleza Chuo cha Zimamoto kilichopo Chogo, Wilayani...
  3. Ni aibu kubwa sana kwa Wilaya kongwe ya Kyela kukosa gari la Zimamoto

    Kyela ni miongoni mwa Wilaya kongwe kabisa za Tanzania , lakini ni Wilaya ya mwisho kabisa kufaidi keki ya nchi hii , kwa miaka yote tangu uhuru imeongozwa na Wabunge wa ccm tu , akiwemo yule mmoja aliyetamba hadharani kwamba ANAMILIKI DIGRII 4 na wala hana njaa yoyote . Halmashauri ya Wilaya...
  4. Zimamoto IIala wadhibiti moto Kariakoo (Julai 4, 2021)

    Kariakoo inaungua na moto muda huu ====== Dar es Salaam: 04.07.2021 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, limefanikiwa kudhibiti moto uliokuwa ukiwaka katika nyumba inayomilikiwa na familia ya Mussa Pazi, iliyopo mtaa wa Mafia na Msimbazi, Kariakoo. Chanzo cha...
  5. Emergency Call Tanzania

    Wakuu habari. Nchi nyingi za wenzetu, mfano Marekani tunaona kwenye movie na tukigoogle kwamba wana emergency call 911 ambayo ikitokea issue unapiga hafu wanatuma mtu kutoa msaada kama ni ambulance, polisi au zima moto. Mfano, 911 ilianzishwa USA mnamo 1968 na hadi sasa ipo na imefikia ukipiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…