ziara ya samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Samia Moscow yatangazwa zaidi na vyombo vya habari vya nje kuliko vya Tanzania

    Ziara hii inosemwa ni ya kihistoria imekosa uhamasishaji ule unotakiwa na hii ni kutokana na vyombo vya habari vya Tanzania kuwa vimezibwa midomo na kalamu zao zimo makabatini. Lakini vyombo vya habari vya nje vyaelezea ziara hii kwamba ni ziara ilogubikwa na ukungu wa kulegalega kwa mahusiano...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Samia nchini Urusi inakwenda kutukosesha fursa nyingi za maendeleo kutoka nchi za Magharibi

    Tunaenda kupoteza marafiki na washirika wa maana wa maendeleo, (US na nchi za EU) kwa tamaa ya madaraka ya watu wachache. Inakadiriwa kuwa biashara kati ya Tanzania na Urusi ni $307m tu kwa mwaka sawa na Tsh.808b. Tunaenda kupoteza biashara kubwa tunayofanya na nchi za Ulaya EU, inayofikia...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ni uzembe au kutapatapa kama siyo kutengwa ziara ya Samia Urusi kupigwa mabomu na Ukraine?

    Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani? Mbali na hilo, alivyokuwa akihangaika kusoma wakati akitoa salamu za kawaida ambazo hazikuhitaji maandishi...
  4. meningitis

    JamiiForums Tanzania Kinyongo cha PolePole na ziara ya Samia Cuba iliyohairishwa ina maana gani?

    Conspiracy or Controversy?? Mwezi Novemba mwaka 2024 ilitaarifiwa kuwa Rais Samia angefika Havana cuba kwa ajili ya kongamano la kimataifa kuhusu lugha ya Kiswahili. Siku chache sana kabla ya ziara ikatangazwa kuwa Ziara hiyo imehairishwa na siku moja kabla kabla tamko la waziri wa mambo ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Mkoani Simiyu, Juni 16, 2025, afungua Jengo la TRA

    Rais Samia anafanya ziara mkoani Simiyu Juni 16, 2025 Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo ili maendeleo yaendele kama tulivyoyapeleka katika miaka...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Michael Msechu afanya kikao na wanakijiji katika Wilaya Mkinga kuwaomba wahudhurie kwa wingi mkutano wa Rais Samia mkoani Tanga

    Balozi wa Mazingira na muhamasishaji wa Maendeleo Tanzania ndugu Michael Msechu amefanya kikao na wanakijiji na kuhamasisha Ujio wa Rais Samia katika wilaya ya Mkinga na kuwaomba wajitokeze kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mama wa Taifa Kaziiendelee
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushiriki Sherehe za Kamisheni na Mahafali kwa Maafisa Wanafunzi

    Rais Samia anashiriki Sherehe za Kamisheni na Maafisa Wanafunzi Kundk la 05/21 BMS na Kundi la 71/23 - Regular https://www.youtube.com/live/uuq-aF1HXbY?si=OQc1YOXG3AfhD2Ou
Back
Top Bottom