zelensky

Zelensky is a Slavic masculine surname.
Its Polish version is Żeleński (masculine) or Żeleńska (feminine).
Its Russian version (Russian: Зеленский) is romanized Zelenski, Zelenskii, Zelenskiy, or Zelensky, and originates from the toponym Zelyonoe, meaning “green”; its feminine counterpart is Zelenskaya or Zelenskaia.
Its Ukrainian version (Ukrainian: Зеленський) is romanized Zelenskyi, Zelensky, or Zelenskyy. The feminine (Ukrainian: Зеленська) is Zelenska.
the Lithuanized version is Zelenskis.
Notable people with the surname include:

Aleksei Zelensky (born 1971), Russian luger
Elena Zelenskaya (born 1961), Russian opera soprano
Igor Zelensky, Russian ballet dancer
Isaak Zelensky (1890–1938), Russian politician
Varvara Zelenskaya (born 1972), Russian alpine ski racer
Volodymyr Zelensky (born 1978), Ukrainian politician and incumbent President of Ukraine, formerly a screenwriter, actor and studio director
Władysław Żeleński (disambiguation), multiple people
Żeleński noble family
Count Tadeusz Josef Żeleński
Countess Ewa Theresa Żeleńska Korab-Karpinska
Countess Sarah Elżbieta Philimina Korab-Karpinska Żeleńska Eagan

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Hatimaye Marekani na washirika wake wamejaa kwa Zelensky kuhusu drone!

    Nchi za Mashariki ya Kati na Ghuba, pamoja na Marekani, zimeiomba Ukraine iwauzie vifaa vya kuzuia ndege zisizo na rubani ili kukabiliana na ndege zisizo na rubani za "Shahed" za Iran. Lakini Kiev bado haijakubaliana na mauzo hayo. lakini kwa nini? "Mahitaji ya ndege zisizo na rubani...
  2. dogman360

    Hivi kwanini Putin kashindwa kufanya kwa Zelenskyalichofanyiwa Ayatollah wa Iran na Marekani?

  3. Bawabu wa pili

    Zelensky asema yupo tayari kuandaa uchaguzi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema yuko tayari kuandaa uchaguzi wa urais ndani ya siku 60 hadi 90 endapo hali ya usalama na masharti ya kisheria yatatimizwa, akitoa wito kwa Marekani na washirika wa Ulaya kusaidia kuandaa mazingira salama kwa uchaguzi huo wakati wa vita. ‎...
  4. The Zanzibar Echo

    Zelensky asema yupo teari kukutana na Putin Moscow ikiwa atapatiwa hakikisho la usalama.

    Mliosema hawezi kwenda mwamba huyu hapa😀😀😀
  5. The Zanzibar Echo

    Trump asema 'Ukraine haitaweza kujiunga na NATO,' huku Zelensky akijiandaa kufika Ikulu

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema rais wa Ukraine anaweza kumaliza vita vya Urusi "ikiwa anataka" kufanya hivyo, lakini "Ukraine haitaweza kujiunga na NATO" kama sehemu ya makubaliano ya amani. Saa chache kabla ya kuwa mwenyeji wa Volodymyr Zelensky katika Ikulu ya White House, Trump pia...
  6. The Zanzibar Echo

    Viongozi wa Ulaya kuambatana na Zelensky Washington

    Viongozi wa Umoja wa Ulaya na wale wa Jumuiya ya kujihami NATO wametangaza siku ya Jumapili kuwa wataambatana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini Washington kwa mazungumzo muhimu na Rais Donald Trumpyaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatatu. Rais wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya Ursula...
  7. The Zanzibar Echo

    Zelensky apinga kulitoa jimbo la Donbas huku Warusi wanasonga mbele na mapigano

    Rais Volodymyr Zelensky amesema Ukraine itakataa pendekezo lolote la Urusi la kulitoa eneo la Donbas kama sharti la kusitishwa kwa mapigano, akionya kuwa linaweza kutumika kama chachu ya mashambulizi ya siku zijazo. Zelensky alikuwa akizungumza kabla ya mkutano kati ya Rais wa Marekani Donald...
  8. Dalton elijah

    It is time for us Dump Intrasigent President Volodymir Zelensky

    By DASSU M.M.N.L.S.(11/08/2025) A former US secretary of state Henry Kissinger once said",America has no permanent friends or enemies, only interests". He went to a greater lengthy delianating the same US foreign policy as saying, It may be dangerous to be America's enemy, but to be America's...
  9. The Zanzibar Echo

    Trump asema kuna 'matarajio' ya kukutana na Putin na Zelensky.

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa "kuna fursa" ya kukutana na viongozi wa Urusi na Ukraine, kufuatia kile alichokitaja kuwa "mazungumzo yenye tija" kati ya mjumbe wake na Vladimir Putin. Alipoulizwa katika Ikulu ya White House ikiwa viongozi hao wawili wamekubaliana kuwa na mkutano kama...
  10. The Zanzibar Echo

    Ukraine yaiomba Marekani mifumo 10 mipya ya ulinzi wa anga ya Patriot, Zelensky asema

    Volodymyr Zelensky alisema kuwa Ukraine imeiomba Marekani kuipatia mifumo kumi zaidi ya ulinzi wa anga ya Patriot na tayari imeweza kukubaliana na washirika wake juu ya utoaji wa mifumo mitatu ya aina hiyo. "Nimepokea uthibitisho rasmi kutoka Ujerumani watatupatia mifumo miwili, Norway mmoja...
  11. The Zanzibar Echo

    Trump alimuuliza Zelensky iwapo anaweza kushambulia mjini Moscow' - Financial Times

    Gazeti la Uingereza la Financial Times linathibitisha kuwa Rais wa Marekani Donald Trump hivi majuzi alimuuliza Volodymyr Zelensky iwapo Ukraine inaweza kushambulia Moscow na St. Petersburg. Wa kwanza kuripoti juu ya mazungumzo kama haya alikuwa mwandishi wa gazeti la Washington Post David...
  12. The Zanzibar Echo

    Zelensky ahimiza misaada zaidi kwa ajili ya kuilinda Ukraine

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewataka viongozi na wafanyabiashara waongeze uwekezaji katika ulinzi, wakati ambapo Urusi inaimarisha mashambuliziZelensky amesisitiza kwamba huo ndio msimamo unaohitajika sasa. Zelensky amesema haitakuwa sahihi kwa nchi washirika kuwa na uhaba wa fedha. Rais...
  13. Yoda

    Ayatollah ajifunze ujasiri na ushujaa kwa Zelensky, amepitiliza uoga

    Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana ubavu na anaviamini vyombo vyake vya ulinzi na usalama angetokea hata live kwenye TV atoe speech...
  14. Keyboard_Warrior

    Zelensky: Ugomvi baina ya Iran na Israel usisababishe nikakosa misaada

    Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake. Bado anahitaji sana misaada. https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267 JUST IN: 🇺🇦 Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with...
  15. enzo1988

    Kama alivyofanya kwa Zelensky, Trump karudia tena kwa Ramaphosa!

    Jamaa anapenda kudhalilisha sana marais wa mataifa madogo! Ila yale makubwa huwa na heshima sana! Wednesday 21 May 2025 20:56, UK https://news.sky.com/story/trump-ambushes-south-african-president-by-playing-video-alleging-genocide-in-south-africa-13372206 Wednesday 21 May 2025 20:45, UK...
  16. Dalton elijah

    Zelensky amewasili Uturuki kwa Majadiliano huku Putin ameshindwa kuhudhuria

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiri nchini uturuki kwa ajili ya mazungumzo ya usitishwaji wa mapigano huko Ukraine ambako inatazamiwa kuwa majadiliano yanahudhuliwa na Recep Erdogan Kando na hayo Rais wa urusi voldmil putin yeye ametumiwa wawakilishi kwa ajili ya mazungumzo hayon na...
  17. Webabu

    Zelensky anazidi kuzivuta nchi za Ulaya ziingie vitani na Urusi kwa uchokozi wake huku nchi za kiarabu zikijficha kusaidia ndugu zao wanaodhulumiwa

    Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa. Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO. Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas...
  18. Webabu

    Trump awafutia kinga maraisi na mawaziri kadhaa waliomtangulia huku Zelensky akimwambia "achana na vinu vyetu vya nyuklia!".

    Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton. Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
  19. Webabu

    Trump awafutia kinga maraisi na mawaziri kadhaa waliomtangulia huku Zelensky akimwambia "achana na vinu vyetu vya nyuklia!".

    Orodha ya viongozi waliomtangulia aliowafutia kinga ya kutoshtakiwa ni wengi miongoni mwao ni raisi mstaafu Biden,Anthony Blinken,Obama na Hillary Clinton. Kwa upande wa Ukraine raisi Zelensky amejibu mpango wa Trump na Putin wa kugawana ardhi na mali za Ukraine kwa kusema Trump akae mbali na...
Back
Top Bottom