zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukraine yasema zaidi ya miili 900 ya wananchi wa kawaida imetapakaa Mji wa Kyiv

    Zaidi ya miili 900 ya wananchi wa kawaida imebainika kuwepo katika Jiji la Kyiv ambao ni Mji Mkuu wa Ukraine baada ya kuondoka kwa majeshi ya #Russia, mingi kati ya hiyo ikiwa imeshambuliwa kwa risasi. Polisi wamesema kuwa hiyo ni ishara kuwa wengi waliuawa kirahisi. Idadi hiyo ya kutatanisha...
  2. JamiiForums Tanzania CAG: Dreamliner za ATCL zatia hasara ya Tsh bilioni 23.6

    Maamuzi ya kibiashara yasiingiliwe na siasa.....haya madege yamepaki tu hayafanyi biashara tarajiwa. Kila moja limenunuliwa kwa mamia ya mabilioni, halizalishi faida, Bali linazalisha hasara, mara baada ya JPM kupiga picha na ndege hizo, hazijaenda popote tena. --- Air Tanzania's two Dreamliner...
  3. JamiiForums Tanzania B.D. Cooper, Mtekaji wa ndege aliyetafutwa na FBI zaidi ya miaka 45 bila kuonekana

    Hili Ni tukio la kweli katika Maisha halisi. Siku ya November 24 mwaka 1971, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mji wa Portland jamaa aliyevaa suti nyeusi na koti refu jeusi kwa juu akiwa amebeba brief case nyeusi alifika katika counter ya kampuni ya ndege ya Northwest Orient Airlines na...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna akiba gani nyingine ya kutusaidia tukipatwa na majanga Zaidi ya akiba ya chakula na akiba ya fedha za kigeni?

    Tanzania 🇹🇿 kama taifa tumekuwa tukijivunia kupanda kwa akiba yetu ya fedha za kigeni na pia tumekuwa tukijivunia kiasi kikubwa cha chakula tulicho nacho kwenye maghala ya kuhifadhi nafaka. Sijawahi kusikia tukisifia kiasi cha akiba cha mafuta ya nishati ambacho serikali inacho. Tunajua kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Leo tar 12 April 2022, Serikali yatangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi. Zaidi ya billion 40 kutumika

    Leo tarehe 12 April 2022 Serikali yetu kupitia Wizara ya Ajira na utumishi wa Umma imetangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi kibao. Serikali yetu imesema itatumia zaidi ya shilingi bilion 40 katika michakato hii yote. Kwa taarifa zaidi ingia www.utumishi.go.tz Kila la kheri vijana.
  6. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Ukraine ni zaidi ya ilivyokuwa Rwanda 1994

    Nimekuwa nisoma visa vingi sana ndani ya BBC Swahili, mashuhuda wakihojiwa moja kwa moja tena kukiwa na ushahidi wa wa kimazingira ili kuepuka wafuasi wa Putin kusema ni propaganda. Soma visa hivi kashaa TAHADHARI KAMA NI MUOGA USISOME SABABU NI HADITHI ZA KUTISHA Katika eneo tulivu, la...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati afanye zaidi ya kusambaza umeme kwa wanavijiji

    Kuna vijiji ambayo tangu dunia hii imeumbwa hawajawahi kuona umeme wa TANESCO, Sasa ni mara Yao ya kwanza umeme unafika kwao. Hii Ina maana kuwa pamoja na kupata faida ya umeme lakini watapata pia hasara za kuwa na umeme kama vile kupigwa shoti, kunaswa na umeme, kuunguza nguo kwa pasi na nyumba...
  8. B

    JamiiForums Tanzania RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

    Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
  9. JamiiForums Tanzania Join the chain ya Chadema ni zaidi ya mpango mkakati hongereni sana!

    Wapo wajinga wanaoamini join the chain ya Chadema ni jambo la kijinga na kupuuzwa. Ukweli ni kwamba join the chain ni zaidi ya mpango kazi na ni suala la muda tu tija ya jambo hilo itaonekana wazi. Faida kubwa ya join the chain ni kukiweka Chadema karibu/jirani na watu jambo ambalo ni zaidi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili ya ile ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili zaidi ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Tanganyika: Wanakijiji kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 50 kufuata huduma za Afya

    Wananchi wa vijiji vya Bungwe, vikonge, Ngomalusambo katika kata ya Tongwe wilayani Tanganyika katika mkoa wa katavi wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali na kubwa zaidi ni kokosekana kwa zahanati katika vijiji vyao,. Wanakijiji wa kutoka kijiji cha Bungwe wamekuwa wakisafiri umbali wa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Watazamaji zaidi ya milioni 600 kuitazama Simba SC kesho

    Muwakilishi pekee kutoka Tanzania mnyama mkali Simba sc kesho majira ya saa nne kamili usiku, atatupa karata yake ya mwisho kwenye kundi lake, ushindi pekee unahitajika ili kuipeleka robo fainali miamba hiyo ya Africa. Dunia inashauku na hamu kubwa kuona ni nini kitatokea kesho pale mkapa...
  15. JamiiForums Tanzania Bondia Hassan Mwakinyo arusha jiwe gizani, aponda mabondia wanaolipwa Sh milioni 5

    Bondia Hassan Mwakinyo ametoa kauli ambayo ni wazi inaonyesha anarusha ‘dongo’ sehemu. Wale mnaojua someni hapa kisha muone kijembe hiki kinamuhusu nani? “Bongo bwana Boxer unajulikana mikoa 5 tu Tanzania umeshaanza kuvimba mabega!! Eti unajiona kila mtu Una muweza ikipigwa hesabu yako tangu...
  16. JamiiForums Tanzania Bima ya NHIF inasababisha Hospitali kushindwa kujiendesha kwa kutolipa madeni. Rais Samia angazia macho huko

    Hospital kubwa kama Muhimbili, Bugando, KCMC, MBEYA, DODOMA Ziko katika Hali mbaya Kwa kutoa Huduma na kushindwa kuwalipa wazabuni Kwa mda wanaoleta vifaa Tiba mahospitalini. Hali hii inapelekea Hospital KUJIENDESHA Kwa mapato ya ndani, Mfuko wa BIMA NHIF umeshindwa kulipa hizi Hospitali...
  17. JamiiForums Tanzania Amos Makala Hongera kwa Coco Beach, Ila huoni Kama tunaweza fanya zaidi ya pale?

    Hongera sana Amos Makala na Uongozi wa Jiji la Dar es Salaam na Awamu ya Sita kwa ujumla kwa ubunifu wa Coco Beach. Yaliyolewa Malalamiko mengi sana kuhusu namna ile sehemu ilivyokuwa hovyo na mabanda ya hovyo jambo lililopelekea kupoteza mvuto! Kwa maboresho yaliyofanyika kwa kujenga mabanda...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana brand ambayo umeijenga kwa miaka zaidi ya 20 usiruhusu iharibiwe kwaa uepesi

    Kwa ufupi ikiwezekana kuwa katili, na mtu akikuletea ubishi mtangulize kuzimu. Leo nimechukua sana.
  19. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ijayo zaidi ya nusu ya Wana-JamiiForums tutakuwa tumeshakufa. Je, tunajiandaaje kuagana na kuacha legacy?

    Asilimia 70 ya tulio humu leo tutakuwa tumeshakufa ifikapo mwaka 2052 yaani hatutamuona rais wa tatu tokea samia au au rais wa tisa wa taifa letu kama wajao watatawala kwa miaka 10 @1 je tunajiandaaje kuagana sisi kwa sisi? Binafsi namuaga jamaa mmoja anaitwa Mbususu Enthusiast jina lake...
  20. JamiiForums Tanzania #Mwaka mmoja# wa Rais Samia tunatarajia vitengo vya huduma za dharura zaidi ya 150

    Moja ya maamuzi makubwa yaliyifanywa na Mhe. Rais wa JMT Samia Suluhu Hasan ni kutumia fedha za mkopo wa uviko 19 kujenga madarasa na majengo maalumu ya huduma za dharura nchini. Hii ni kutoka sufuri hadi 150 . Best achievment in one year! CCM HOYEE!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…