yusuph

Yusuph Abdallah Nassir (born 25 April 1965) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Korogwe Town constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    PostGE2025 Mbunge Kunti Yusuph Majala: Tumeangamiza wasiokuwa na hatia kwa tamaa zetu

    " Niwaombe watanzania wenzagu hii nuru tuliyonayo si kitu cha bedha wala siyo kitu cha kutikisa na kwenda kujaribu, na wasahili wanasema sumu haijaribiwi kwa kuonja tumejionea sisi wenyewe yaliyotokea. Wapo waloathirika hata ambao walikuwa hawahusiki na hayo mambo lakini tumeenda kuangamiza...
  2. Mafyangula

    Mwalimu Yusuph Ibrahim wenye ulemavu wa mguu akabidhiwa mguu wa bandia wenye thamani ya Tsh Milioni 46

    Katika utekelezaji wa ahadi ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Mwalimu Yusuph Ibrahim mwenye ulemavu wa mguu leo Oktoba 13, 2025, amekabidhiwa mguu wa bandia wenye thamani ya Tsh Milioni 46 kama utekelezwaji wa ahadi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuguswa na moyo, ari ya mwalimu huyo katika...
  3. mogulnoise

    Yusuph wa Tanzania 2025 ni Makonda

    Neno lilimjia Mogul juu ya Taifa la Tanzania na kwa habari za Waziri Mkuu 2025-2030 andika. Tazama yule aliyedharaulika then Bwana akamchagua na kumketisha katika meza ya wakuu sasa ni wakati wake ili litubitishwe neno la Bwana. Paul Makonda litumikie kusudi la Bwana katika nafasi hii...
  4. Zee la madawa

    Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe na je Yusuph alijisikiaje baada ya mke wake Mary kuzaa mtoto ambaye si wake? Naomba kueleweshwa

    Mimi sometime haya mambo naona hekaya za abunuasi kabisa aisee nashindwa kuamini na sijui nani atakuja kuniaminisha halafu nikaamini hivi inawezekana vp bwana Yesu ambaye kwa wakristo wanasema ni mungu wao inawezekana vp huyo Mungu kwa mujibu wa wakristo alizaliwa kwenye zizi la mifugi hivi...
  5. Mr Beach Boy

    Yusuph alikuwa mme wa bikra maria, narudia mume..na akapata mimba bila kujamiiana..

    Ama kweli dini ni njia.. Yani anaitwa mume na hajawai kula tunda. Na akapata mimba Haya..
  6. Mkalukungone Mwamba

    Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Mwenda: Hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kisheria kufuta Madeni ya Kodi

    Kutokana na kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa watuhumiwa wawili wanaodaiwa kufanya udanganyifu kuwa wao ni maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwa wanao uwezo wa kusamehe madeni ya kodi, Kamishna Mkuu wa TRA Yusuph Juma Mwenda amesema hakuna mtu yeyote mwenye uwezo wa kisheria kufuta...
  7. T

    Yusuph Kagoma kwenda Yanga

    Kweli Utopolo wenye akili ni wawili Tu! Kwa hili la Yusuph kugomea kwenda Yanga na jinsi Utopolo wanavyohaha kisa sio Mchezaji bali ni kutaka kutunishiana misuli na Semaji la CAF kweli aliyesema huko wenye akili ni wawili Tu apewe maua yake. Angalia jinsi mapovu yanavyowatoka midomoni kisa sio...
  8. MwananchiOG

    Yusuph Kagoma kutimkia Azam

    Kinda wa mpira na striker hatari aliyekipiga kunako vilabu vikubwa barani ulaya kama Birmingham na Stoke city pia alicheza katika Ligi kuu ya Somalia, Msomali Yusuph Ahmed ameigomea club ya Azam iliyokuwa ikihaha kuinasa saini yake. Hivi sasa Yusuph ataendelea kuitumikia club yake mpaka pale...
  9. OMOYOGWANE

    Mwambieni Yusuph Dabo kama anataka kutoboa makundi CAFCL acheze kikanuni asicheze kimazoea

    Mashindano ya CAF yote ni mashindano ya kikanuni, Timu nyingi zilizofanikiwa hucheza kikanuni. Miguel Gamond mechi yake ya kwanza alicheza kimazoea kule Algeria Yanga ikapokea kichapo cha mbwa koko, Nakumbuka hiyo siku akina yao yao na wenzake walikuwa wanapanda kushambulia bila tahadhari yaani...
  10. Frank Wanjiru

    Yusuph Kagoma apata jeraha litakalomweka nje ya uwanja

    Mchezaji mpya aliesajiliwa Simba kwa ajili ya msimu ujao, Yusuph Kagoma amepata majeraha ya mguu yatakayomweka nje ya uwanja kwa miezi kadhaa.
  11. D

    Gamondi kagombana na kocha physio Yusuph

    Gamondi history Kila team anayofukuzwa is due to his harsh mentality, anataka vitu vyake viende atakavyo, in short ni mkali Sana. akiingia kwenye team lazima afanye atibue kwanza vitu. In short wamegombana na yusuph na Yusuph anaondoka 😂#bingwa wa kumsagia kunguni gamondi hadi aamie simba.
Back
Top Bottom