Tume Huru ya Uchaguzi imemtangaza Rais Museveni, mwenye umri wa miaka 81, kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026, akipata asilimia 71.6 huku mpinzani wake Bobi Wine akishika nafasi ya pili kwa asilimia 24.72 ya jumla ya kura halali zilizopigwa, na kuendeleza utawala...