young africans

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium.
Nicknamed "Timu ya Wananchi"
utaputapu (People's Club) or "Yanga" (Young Boys) , Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 27 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Full Time: TRA United 0 🆚 0 Young Africans SC, Machi 18, 2026, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

    Mchezo unaendelea kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, upinzani ukiwa ni mkali, wenyeji TRA wanacheza pungufu baada ya mwenzao mmoja kucheza kadi ya pili ya njano. Hadi Kipindi cha Kwanza kinakamilika hakuna timu ilioona lango la mpinzani wake. Mchezo umemalizika kwa timu zote...
  2. Dalton elijah

    Taarifa za wachezaji waliopata majeraha kutoka klabu ya Young Africans Sports Club

    •Ibrahim Abdullah (Bacca) amepata jeraha la nyonga na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha Wiki tatu • Laurindo Dilson (Depu) amepata majeraha ya nyama za paja na atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki mbili. • Chadrack Boka amepata jeraha la enka ya mguu wa kushoto na atakuwa nje ya...
  3. Vincenzo Jr

    FT: Young Africans SC 3-0 JS Kabylie | CAF Champions League | New Amaan Complex | Feb 15, 2026

  4. P

    FT: CAFCL Group Stage: Young Africans 1-0 Far Rabat | New Amani Complex | 22/11/2025

    Mabingwa wa Tanzania, Yanga leo wanaanza kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Far Rabat ya Morocco katika mechi ya kwanza ya group B, katika mechi itakayochezwa kwenye uwanja wa Amani Complex, Zanzibar
  5. Vincenzo Jr

    Tetesi: It's Over, Romain Folz amefutwa kazi ndani ya Young Africans as expected. Official Announcement soon

    Credit by Felix jason
  6. ngara23

    Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Bandari FC, siku ya wananchi

    Kwanza naona coach Folz ana kazi ngumu mno kwenye kupanga kikosi. Young wameboresha timu Yao inatosha 1. Goal keeping Diarra ni yule yule ametoa mchezo mzuri mno, na mwenzake Msheri 2 Defending Walinzi wamecheza vizuri mno, Amenipa surprise Asink ni beki Bora sana. Naona akichukua namba ya...
  7. Vincenzo Jr

    Jezi za Young Africans kwaajili ya msimu ujao wa 2025-26.

    𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔. 🔰 𝐀𝐖𝐀𝐘 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐌𝐓𝐎𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐀𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐔𝐌𝐄𝐅𝐈𝐊𝐀 🤩Sogea hapa Makao Makuu ya klabu yetu Jangwani upate mtoko wako Mwananchi🔰.#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Kwa elfu 45 tu mwananchi 💚💛
  8. King Leon 1

    Azam FC: Hakuna timu iliyokuja kuzungumza nasi kumuhitaji Feisal Salum

    Msemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa...
  9. Dalton elijah

    Klabu ya Young Africans imemtambulisha rasmi kiungo wa kimataifa wa Guinea, Mussa Bala Conte

    Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi kiungo mkabaji wa zamani wa klaabu ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia ambaye ni raia wa Guinea Moussa Balla Conte. Nyota huyo alikuwa kwenye midomo ya watu wengi hapa nchini baada ya kuonesha kiwango bora kwenye michezo ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya...
  10. Kitimoto

    Ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Young Africans SC (Yanga) Kuanzisha Tiketi za Kidigitali

    Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia Tiketi za Kidigitali (Digital Support Tickets). Maelezo ya Wazo: Katika siku maalum kama vile Yanga...
  11. kiwatengu

    Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

    Match Day. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Kikosi Cha Singida Black Stars
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    Sasa ni rasmi: Elie Mpanzu Kibisawala ni mali ya Dar es Salaam Young Africans

    Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
  13. uttoh2002

    Young Africans tunapoteza mechi leo

    Mimi ni mshabiki kindakindaki wa Yanga, ila Leo moyo wangu unakataa, tunapigwa 2 kwa 1 na Simbo, na anguko letu la miaka 4 litafuata! Poleni sana wananchi wenzangu!
  14. kiwatengu

    FT |Young Africans SC 2-0 JKT Tanzania | CRDB Federation Cup | Semi-Final | Mkwakwani Stadium | 18.05.2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 DAY 🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Young Africans SC🆚JKT Tanzania 📆 18.05.2025 🏟 CCM Mkwakwani 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Updates Kikosi cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA JKT Updates... DK 41 Prince Dube anaipatia Yanga Goal lakuongoza. Alipokea Assist nzuri...
  15. kiwatengu

    FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Fountain Gate FC🆚Young Africans SC 📆 21.04.2025 🏟 Tanzanite Kwaraa 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA FGFC kinachoanza. Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Updates Kipindi cha Kwanza. 00' Mpira umeanza Yanga ndio wameanza mpira uko...
  16. Tembosa

    Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

    SIKU YA MECHI KALI. 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Azam Fc 🆚 Young Africans SC 📆 10.04.2025 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Jioni VIKOSI VINAVYOANZA LEO. Updates.... Dakika 11 Pacome anaipatia goli la kuongoza kwa Yanga Dakika 19 Pacome anatolewa nje kupata matibabu zaidi baada ya kuumizwa Dakika 34...
  17. Vincenzo Jr

    Full Time: Young Africans SC 1-0 Coastal Union| NBC premier League | 07.04.2025| KMC Complex

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Coastal Union 📆 07.04.2025 🏟 KMC Complex 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya Coastal Union🔰💪🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko 30’| #NBCPremierLeague Young Africans SC 0-0 Coastal Union...
  18. ngara23

    Azam FC wamepoteza dhidi ya Singida BS walijiandaa Kwa ajili ya Young Africans

    Leo nimetazama mechi ya Azam dhidi ya Singida BS nimeshangaa Azam akiweka akiba ya wachezaji wake muhimu Kwa ajili ya Alhamis dhidi ya Yanga Mechi zote za ligi Zina hadhi sawa, yaani Azam yupo radhi afungwe na Singida BS halafu akamie Simba na Yanga apate sare au ushindi wa taabu nae atambe...
  19. ngara23

    Mechi ya Tabora United vs Young Africans inazungumziwa kuliko mechi ya Shirikisho

    Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana habari nayo Haya mashindano ya shirikisho ni sawa na mashindano ya shule yaani UMISETA au Yale ya golf...
  20. ngara23

    Mechi ya Tabora United vs Young Africans yasogezwa mbele

    Mechi ya Tabora United vs Young Africans iliyokuwa ichezwe tarehe 1 April 2025, Sasa itachezwa tarehe 2 April Bodi ya ligi wamewapa taarifa timu zote kutokana na kanuni kuwaruhusu kuhairishwa mechi kabla ya saa 24 kama itavowapendeza Kila la heri timu ya wananchi Yanga bingwa
Back
Top Bottom