yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga imetoa funzo kubwa kwa Simba na wengineo. Italiandika tena kwenye msimu ujao wa Klabu Bingwa?

    Mwanzo mwanzoni nitamke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga tangu utoto wangu. Lakini, kila ninapotazama mechi ya mpira(nilianza kufuatilia tangu miaka ya 90), huwa nauweka ushabiki wangu pembeni. Daima huwa naitazama mechi kiufundi na kunasa cha kuondoka nacho, achilia mbali matokeo. Huwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tumejiandaa kuipokea yanga..

    Mabingwa wetu tumejiandaa kuwapokea,yani hili litakuwa la kihistoria kwanzia uwanja wa ndege mpaka kaunda. Tutapiga picha na medali zetu. Sisi ndo yanga bana hatunaga jambo dogo kabisa.. Viva young africa Viva tz.. Daima mbele nyuma mwiko
  3. JamiiForums Tanzania Bila shaka waarabu wataanza kukataa kucheza na Yanga

    Hamna kitu kibaya sasa hivi kwa waarabu Kama wakikutana na Yanga kimataifa. Chini ya jangwa la Sahara hamna timu inaogopeka Kama Yanga. Club Africain kapigwa za uso kwake Monastri hataki kabisa kumsikia Yanga. USMA ilibidi achome matairi uwanjani ili Mambo yasiwe mengi. Hawa Yanga na hata hawaringi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio kitu ukiwaonyesha mashabiki wa Yanga wanaweza kukupiga mawe kwa hasira

    Hii ni Wyadad ambayo imeitoa Simba ligi ya mabingwa kwa penalti baada ya kutoshana nguvu, na sasa ipo fainali ya mabingwa CAF na inaweza kutwaa ubingwa wa ligi Kwa chini ni timu ambazo Yanga imekutana nazo, moja nusu fainali, na nyingine Fainali
  5. JamiiForums Tanzania Wanatani wa Yanga mitaa ya Mbezi kwa yusuph washerekea ubingwa kwa namna yake

    kundi la vijana wakike kwa wakiume wakiwa na furaha sana, wakiimba ule wimbo pendwa wa leo ndo leo huku wakiendelea na maandalizi ya Mbuzi watatu pamoja na vyakula vingine, pamoja ya hayo wakiwa ndani ya mavazi (sio wote)ya kanzu wanasherekea ubingwa wa USM. Vigoma pia vinaandaliwa (kuanzia...
  6. JamiiForums Tanzania CAF: Yanga imekufa kiume lakini Simba imeuawa na wanaume.

    Wakati Simba ikiwa imeuawa na wanaume Yanga imeonyesha maana halisi ya kufa kiume. Simba wamefia uvunguni mwa kitanda wakati Yanga imefia juu ya kitanda.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Yanga wapewe mapokezi ya heshima. Wanastahili kwa viwango vyote

    Timu ya Daresalam Young Africans imehitimisha safari yake salama na kuwa BINGWA NAMBA MBILI AFRICA, wa kombe la shirikisho. Klabu ya Yanga, wanachama na Wapenzi wa Michezo wenye moyo wa uzalendo, wanaombwa kuwapa MABINGWA No 2 mapokezi ya heshima. Kazi walioyofanya ni kubwa haswa KUSHINDA...
  8. JamiiForums Tanzania Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

    Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za mashindano, Ulaya hakuna upumbavu huu kwa level ya fainali. Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Yanga ndiye bingwa wa CAFCC 2023

    Naanza kwa kuipongeza timu ya Yanga kwa hatua kubwa waliyoifikia kimpira! Japo hawakushinda kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na CAF binafsi naamini Yanga ndiye bingwa wa michuano ya CAFCC 2023. Wamecheza soka safi na la kisomi, hongera kwako Nabi na timu yako ya benchi la ufundi...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga yaendeleza rekodi, haijawahi kuwekwa na timu yoyote Afrika

    Yanga hongereni sana tena sana, ni rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na timu yeyote afrika kushinda mechi zaidi ya tano away? Big up sanaaa Nb Nyumbani kuna wanga na wachawi
  11. JamiiForums Tanzania Yanga leo inatuheshimisha Tanzania

    helloow africa Simba tunajua mnawivu sana mnaropoka mpaka mate yanawakauka Ila Ukweli usio pingika hapa leo tunaheshimisha Tanzania hapa tukishindwa nitukanwe matusi yote na ban juu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga tukubaliane japo kwa hili

    Kukubali ukweli siku zote siyo udhaifu bali ni sehemu ya kujisahihisha. Ukweli ni kwamba USM Algers siyo TP Mazembe, Marumo Gallants, Rivers Wala Monastry. Wakati mwingine ni ngumu kwenda vitani huku ukiamini kuwa hutarejea, lazima ufe, ila uamini usiamini ukweli utabaki kuwa kurudi kwako ukiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Acheni kujiweka fight mode mpaka sasa Yanga ni Bingwa

    Yanga hoyee, Tukifungwa ni mabingwa, tukishinda ni mabingwa. Tayari historia imewekwa, timu ya wananchi wenye akili imeingia fainali. Kama hautaki, andamana
  14. JamiiForums Tanzania Tarehe 03 Juni, 2023 Yanga inachukua kombe, kila mmoja aseme AMEN

    Ninashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club. Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe. Kombe la Shirikisho wakilichukua tutanufaika kama Taifa.... Watanzania tusimame na Yanga kwani...
  15. JamiiForums Tanzania FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

    Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza Yanga ilipoteza 2-1 katika uwanja wa Benjamini Mkapa. Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Brazil alifungwa kwao na German kwa nini USM Alger asifungwe kwao na Yanga?

    Uwezo aliokuwa nao Yanga ni mkubwa tena ni wa kutisha katika medani za soka barani africa. kiukweli kweli kabisa Marumo Gallant walikuwa hatari sana na wakalala mabao mawili kwao africa kusini. Recodi hii inanipa ubavu wa kuamini 100% ya kuwa Yanga kesho ataifunga algeria timu ya USM Alger...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga kupokea wachezaji 3 toka La Liga

    Taarifa toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Club ya Yanga inatarajia kupokea makinda 3 toka vilabu vya Villarreal na Atlético Madrid kama sehemu ya makubaliano yao na La Liga katika kubadilishana wachezaji wa timu B. Makinda hao ni golikipa mmoja na washambuliaji 2, inasemekana Clement F...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga mshindi wa pili Kombe la Shirikisho Afrika

    Yanga inao mlima wakupanda kuhakikisha inawafunga goli mbili kwa 0 USM Alger ili iweze kuibuka bingwa kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa. Hilo ni Jambo gumu kutokea lakini kila la kher Yanga Utabiri wangu FT USM Alger Vs Yanga FT 0-1
  19. JamiiForums Tanzania Kama Eng Hersi alidiriki kuvaa jezi ya Kaizer chief kwenye mechi muhimu dhidi ya Simba, Mimi ni nani niitakie heri Yanga? Njoo hapa tuiombee mabaya ke

    siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani... Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs.. Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0 Na Kila mtu aseme ameen
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi Yanga ilivyopotea Airport 2017

    Unaweza ukajiuliza kwanini Mama kawapa Yanga dege letu la kisasa. Basi ondoa shaka ni kwa nia njema, kwani hawa watu wanahistoria mbaya huko Algeria. Kama lilivyoreport gazeti la Mwanaspoti mwaka 2017. Rubani alisubirii weee akaamua kuamsha.........
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…