yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 4 - 0 Muembe Makumbi | Muungano Cup 2026| New Amaan Complex

    Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Muungano Cup wapo uwanjani New Amaan Complex Visiwa Zanzibar wakicheza na Muembe Makumbi Hadi sasa Dakika 31 Yanga anaongoza goli moja liliofungwa na Prince Dube Shekhan anapiga chuma ya 3 kwa upande wa Yanga. Dakika 57, Dube anaweka kamba ya nne
  2. JamiiForums Tanzania FT: Pamba Jiji FC 0-3 Yanga SC | Ligi ya NBC | Aprili 8, 2026 | CCM Kirumba

    Leo Aprili 8, 2026, mashabiki wa soka nchini wanatarajia kushuhudia pambano kubwa la kusisimua kati ya Pamba Jiji FC na Yanga SC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo huu utapigwa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza, kuanzia saa 10:15 jioni. Pamba Jiji FC, wakiwa nyumbani...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Simba SC: Damaro na Yanga SC wao hawajafika, Sheria inaruhusu kwenda CAS kama tusiporidhishwa

    Shauri la Simba SC dhidi ya Damaro na Yanga SC limesikilizwa Aprili 2, 2026 katika Ofisi za TFF, Karume Ilala Jijini Dar es Salaam, ambapo Mwanasheria wa Klabu ya Simba, HOSEA CHAMBA amesema, Damaro na Yanga SC wao hawajafika, Sheria inaruhusu kwenda CAS Kama tusiporidhishwa Sakata la SIMBA...
  4. JamiiForums Tanzania TFF yatoa Notisi ya Siku 60 kwa Makampuni ya Betting kujieleza kwa kuweka Mechi ya Dabi (Yanga na Simba) kwenye mfumo bila idhini

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa notisi ya kisheria ya siku 60 kwa makampuni kadhaa ya michezo ya kubahatisha (betting), likitaka maelezo ya kwanini yaliorodhesha mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Young Africans SC (Yanga) na Simba SC bila idhini. Mchezo huo wa Dabi...
  5. JamiiForums Tanzania Full Time| Mtibwa Sugar 1 -1 Yanga SC | Ligi kuu NBC | Jamuhuri stadium | Machi 21, 2025

    Mchezo wa Ligi Kuu wa NBC wenyeji Mtibwa Sugar wanacheza na Yanga SC uwanja wa Jamuhuri Dodoma DAkika 51, Yanga anaogoza goli moja, goli lilofungwa na Pacome Mechi imemalizika
  6. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Shabiki anayeweza kuwa mshambuliaji aje atusaidie mechi dhidi ya Mtibwa Sugar

    Kikosi cha Klabu ya Yanga kimewasili jijini Dodoma kwa ajili ya kuwakabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara utakaochezwa March 21 kwenye Uwanja wa CCM Jamhuri, jijini Dodoma Akizungumza mara baada ya kuwasili, Afisa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe, amesema dhamira yao...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Full Time: NBC PL | Azam FC 0-0 Yanga SC | Mkapa Stadium | 15/03/2026

    Timu ya soka ya Azam leo inaikaribisha timu ya Yanga kwrnye mechi ya NBC PL kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
  8. JamiiForums Tanzania Full Time: NBC PL | Singida BS 0-3 Young Africans | Airtel Stadium | 05/03/2026

    Mchezo wa Ligi Ya NBC 2025/2026 Yanga Sc dhidi ya Singida Big STars Kipindi cha Kwanza kimekamilika Yanga wapo mbele kwa goli 2 Magoli ya Yanga yamefungwa na Prince Dube na Allan Okello. Chuma ya 3 😁 linawekwa na Mudathir Singida wanafanya mabadiliko ya wachezaji wa tatu. Dakika 56, Yanga...
  9. JamiiForums Tanzania Simba mtusamehe, hujuma zetu kwenu zimetuathiri sote

    Kwa muda sasa nmekuwa nikiombea na kushiriki kwenye michango ya kazi chafu dhidi ya mikia. Kwenda kuwapiga misumali wachezaji wao na wengine kurubuniwa Simba ifanye vibaya. Nashukuru serikali imekuwa upande wetu sana sisi team ya wananchi kinyume na mikia sc ambao wametelekezwa wameachwa kama...
  10. JamiiForums Tanzania FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

    AL Ahly vs Yanga Leo Saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki Afrika itasimama yote kupisha mtanange mkubwa zaidi kati ya Al Ahly SC na Yanga SC Kaa nami katika Uzi huu kwa update zaidi Kikosi kazi dhidi ya Al Ahly #cafcl #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Mpira umeanza Dakika ya 14...
  11. JamiiForums Tanzania FT | Azam FC 0-0 Yanga SC (Pen 4-5) | Mapinduzi Cup | Gombani Stadium | Fainali | 13.01.2026

    Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, kupigwa katika Uwanja Mpya wa Gombani Kisiwani Pemba, Mechi kali kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC Kikosi kazi dhidi ya Azam FC #MapinduziCup2026Final Mpira umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanafanya mashambulizi Dakika ya 15 Dube anakosa nafasi...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga imenipa jibu kua hali ya Mtanzania ni mbaya kiuchumi

    Wasaalam Juzi siku ya mechi ya Yanga nikiwa mitaa ya mandela road kuelekea ubungo nilikutana na makund ya vijana yakitembea kwa mguu kutoka taifa had ubungo mbele mbele vifua waz jasho la kutosha Nikawahoji mnatoka wap wakajibu taifa Kwanini msipande daladala wakati ni buku tu wakasema broo...
  13. JamiiForums Tanzania WAFUATAO WAFUKUZWE YANGA SC HARAKA SANA

    Edmund john - anacheza kama kondoo Offen Chikola - sio level ya yanga Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga Kocha mabedi - Hana uwezo wakuifundisha yanga Mwamnyeto - mchawi
  14. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Yanga SC jioni ya leo wataingia uwanjani kurudiana na timu ya Silver Strikers kutoka Malawi Katika mechi ya kwanza iliyofanyika jijini Lilongwe nchini Malawi, Silver Strikers waliibuka na ushindi wa goli moja kwa bila Je Yanga leo watapindua...
  15. JamiiForums Tanzania Jumamosi Yanga SC 2-1 atashinda

    Wapenzi wa Yanga SC huzuni sasa basi, utabiri wangu nawapa nyinyi hapo jumamosi. Gemu itisha kwa mwenyeji kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja.
  16. JamiiForums Tanzania Mashabiki Yanga SC waomba waletewe wali na maji siku ya mechi ya bure

    Tunawaomba viongozi wetu wa Yanga siku ya mechi yetu ya marudiano na Silver tupate chakula pilau, soda na maji wakati mechi inaendelea tunakula, na baada mechi kuisha tupate tena tukiwa tunasherekea ushindi wetu Amesema GodYanga
  17. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Kiingilio bure isipokuwa VIP A na VIP B

    “Tumekubaliana kuwa mechi hii imeondolewa viingilio majukwaa yote isipokuwa jukwaa la VIP A na VIP B yamekuwa Reserved kwa waalikwa maalum ambao ni Wageni wetu pamoja na wanachama wa Yanga wa Black Card. Ombi hili la kuweka mechi hii isiwe na viingilio lilikuwa Gumu sana kukubaliwa kwakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Bingu National Stadium| 18.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

    Silver Strikers vs Yanga SC Saa 10:00 jioni Leo ni siku nyingine ya Wananchi kufurahi #CAFCL Soma Pia>> Rasmi ndoa ya yanga na Folz yafikia ukomo
  19. JamiiForums Tanzania Moloko aliyekuwa nyota na akiimbwa Yanga SC leo Kapigika hivi Kimaisha hadi analia ili tu aonane na Mayele na amtoe kwa chochote kitu?

    Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo. Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
  20. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-0 Wiliete | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 27/09/2025

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano. Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Angola, Yanga walitoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wawakilishi hao wa Angola Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…