Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.
๐ฐ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฐ
๐ #CAFCL
โฝ๏ธ Young Africans SC๐VitalโO FC
๐ 24.08.2024
๐ Azam Complex
๐ 19:00
#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Kikosi kinachoanza dhidi ya VitalโO FC #CAFCL
#GoliLaMama
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Mpira umeanza
Dakika ya 1
0-0
Dakika ya 2
Kibabage anachezewa...
Haji Manara amesema yupo tayari kufanya kazi ndani ya Yanga hata ikiwa kazi ya ufagiaji na kamwe siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji Yanga.
Aidha Manara amesema anaheshima alichokisema Rais wa Klabu hiyo Eng Hersi Said wakati akifanyiwa Mahojiano na Wasafi FM siku 2 zilizopita na kusema Haji...
Kocha wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi alikuwa hapa nchini kwa siku mbili kisha kufanya vikao na mabosi wa Yanga aliowahi kufanya nao kazi kwa mafanikio lakini amewaambia mabosi hao kuwa anaamini Yanga itacheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.
Nabi amefanya kikao na Mfadhili...
Maisha yanaenda kasi sana.
Rais wa Yanga ambaye hadi majuzi alikuwa ni mwajiriwa wa GSM, aliulizwa kama bado anaendelea na ajira yake pale GSM.
Injinia Hersi akatoa ufafanuzi usio na shaka yoyote kuwa yeye hapokei hata shilingi 100 kutoka pale Deportivo la Utopolo. Akasema yeye status yake...
Wakuu Kwa jinsi kikosi kizito Cha Yanga ( Real Madrid ya Africa) kilivyoshonwa Kwa mastaa wazito na kukifanya kiwe kikosi hatari Kwa ukanda huu wa CECAFA na kusini mwa Jangwa la Sahara
Kwa mfano viongozi wa Yanga kama wakiamua kuongeza wachezaji wa pale Simba, Je ni wachezaji gani wa Simba...
Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais Samia akizungumza katika uwekaji wa Jiwe la...
๐๐๐ฅ๐ฆ๐ ๐๐๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐๐ก๐๐
โMimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, Makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga.
โWafanyakazi wa...
"Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga.
โWafanyakazi wa Yanga wanaanzia Level...
- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani.
Yanga wakaitupilia mbali...
โSimba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua, amenionyesha kitu kizuri naendelea kumtia moyo aongeze jitihada,โ Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.
โHaji Manara kwasasa ni Mwanachama hai wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpatia klabuni. Yanga inaye Afisa habari (Alikamwe) ambaye ndiye anaisemea Klabuโ Injinia Hersi
Kwa mnavyomjua zungu lazima ata react vibaya, maana alijua akitoka kifungoni atarudi nafasi yake, ila kakuta Alikamwe...
Sasa kama mnajua kuwa GSM ambao ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC na kwamba itasababisha Fikra zenu za Kipumbavu kuwa kutakuwa na Upangaji wa Matokeo (Match Fixing) pale Yanga SC ikicheza na hivyo Vilabu Saba ( 7 ) sasa kwanini nanyi / nasi pia tusimwambie Tajiri yetu Tapeli na Muongo nae...
Shirikisho la soka duniani ( FIFA ) limeitaka klabu ya Yanga kuilipa kiasi cha USD 80,000 sawa na Tsh Milioni 216 klabu ya Bechem United ya nchini Ghana ,pesa ya malipo iliyosalia katika uhamisho wa Augustine Okrah kutoka Bechem United kwenda Yanga.
FIFA imeitaka klabu ya Yanga kulipa pesa hiyo...
Ni vigumu kumshawishi mtu kuwa Simba, Azam, Yanga na Coastal wamefanya usajili msimu huu sio kwaajili ya kucheza na Tabora United kwenye ligi, kwakuwa nafasi zao walizoshika kwenye NBC league walijua mapema kwamba watakwenda kushiriki mashindano ya CAF 2024/25.
Namchukia kupita kiasi...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amesema Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe wata upeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA.
Watatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza...
Ikitokea Club ya Simba SC kufungwa na Yanga basi naona kabisa itafikia makubaliano ya kuachana na kocha wao Raia wa Afrika Kusini Fadlu Davis.
Baada ya Simba kukandwa....kula chuma 6_0
Sorry nafanya mazoezi ya kupost hii taarifa mwezi ujao]
Mwaka 1998, Yanga ilifuzu hatua ya makundi ya Club Bingwa barani Afrika kwa kuichapa Coffee ya Ethiopia mabao 6 kwa moja katika mechi ya marudiano iliyofanyika uwanja wa Taifa tarehe 08/05/1998.
Katika mechi ya round ya kwanza mjini Addis Ababa, Yanga na Coffee FC walitoka sare ya mabao 2 kwa...
Match Day
Vital'O FC vs Yanga SC
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
#Daimambelenyumamwiko#
Updates...
Mpira umeanza Timu bado zinasomana.
Dk 05
Dubeeeeeeeee anaipร tia Yanga goal lakuongoza hapa .
Goal la kwanza kwa Yanga.
0-1
Dk 08'
Vital'O wanajaribu kufika kwenye lango la Yanga, beki...