yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Singida Blacks Stars yahamishia Zanzibar mechi yake dhidi ya Yanga

    Katika hali ya kushangaza, Singida Blackstars wamehamishia mechi yao dhidi ya Yanga kutoka dimba lao la nyumbani la CCM Liti na sasa mchezo huo utapigwa New Amaan Complex Zanzibar Oktoba 30 mwaka huu. Singida Black Stars wametoa sababu kuwa uwanja wao unaweza kufungiwa kutokana na sehemu ya...
  2. Kwenye ulimwengu wa roho, Simba 1 Yanga 3

    Mechi ya tarehe 19 Ambayo itaikutanisha miamba ya Kariakoo yaani Simba na Yanga Mechi imechezwa na imemalizika tayari ampabo Yanga amefunga magoli matatu ya Prince Dube dk ya 17, Azizi ki dk 39 na Duke Abuya dk ya 76. Goli pekee la Simba limefungwa na Ngoma Tumepambana kwenye ulimwengu wa...
  3. Dini kubwa Tanzania hivi hakuna vipaji?

    Habari ndugu zangu kutokana na matokeo mabovu ya Taifa Stars inaenekana dini kubwa Tanzania tunashindwa kupambania taifa kwenye michezo hasa football. Vilabu vya kariakoo vimejaza dini moja kwenye vikosi vyao mpaka watumishi wa hivo vilabu wanamlengo wa dini moja. Hivyo kama mtanzania...
  4. Dube wa Yanga ni garasa shtukeni

    Prince Mpumelelo Dube mpaka sasa hajaonesha makali yaliyotegemewa wakati anajasajiliwa Yanga. Dube amezungukwa na wachezaji wazuri ila magoli kafunga machache sana mpaka sasa. Wakati Ateba kaja juzi ni mashine na gumzo la nchi. Tunaanza kumjadili saa ngapi huyu Dube kama garasa pale Jangwani?
  5. Picha ya jeraha la Ibra Bacca yashtua wengi, Je kuikosa mechi ya Kariakoo Derby Oktoba 19?

    Picha ya jeraha la Ibrahim Abdallah Hamad a.k.a Ibra Bacca, beki kisiki na tegemeo ndani ya kikosi cha yanga yashtua wengi ikiwa zimesalia siku takribani mbili tu kuelekea Oktoba 19 kwenye mchezo wa dabi ya Kariakoo utakao wakutanisha na Simba SC. Bacca ali-share picha hii Instagram (insta...
  6. Kama kuna siku Simba mtajuta kucheza na Yanga ni 19 Oktoba

    Hii mechi n kati ya mechi nyepesi sana ya Yanga Pengine ni zaidi ya vs Kagera Kama kuna mechi Simba atajuta kuingiza timu uwanjan n Derby ijayo. Halii si nzuri kwao mpaka sasa najua kamati inahangaika kupindua matokeo na ukweli wanajua walichoelezwa Kifupi tu yanga atashinda kuanzia goki 3...
  7. Bacca kuikosa derby?

    Kuna taarifa zinasambaa mtandaon baka kuikosa Derby Ana majerahaaa wenye ushahidi yujuzane tusipoteezee muda kwenda uwanjan kabisa
  8. Maxi Mpia Nzengeli (24) kuelekea mchezo wa Kariakoo Derby

    siku ya jumamosi ndiye namuona kama mchezaji hatari kwa Simba SC kutokana na ubora wake ndani ya uwanja, Maxi kama yupo fiti lazima atakupa mechi bora sana kuanzia nguvu hata kasi na ufanisi kwenye maeneo mengi ndani ya uwanja yameipa uhai mkubwa sana Young Africans Mechi tatu zilizopita za...
  9. Kuelekea Kariakoo Dabi, Mwigulu atoa utabiri wake - "Mechi itakuwa ngumu, Yanga unaifungaje?

    Mechi ya watani wa jadi huwa ni mechi ya wakubwa inaheshima yake na kwa ukubwa ulele huwa autabiriki. Matokeo yanapatikanaga baada ya filimbi ya mwisho ndiyo inajulikana nani ameshinda. Lakini kwa kiu najuwa Simba watakuwa na kiu kubwa sana ya kushinda mechi hiyo na kwa kweli najuwa mechi...
  10. Akili za Wachezaji wa Tanzania ziliwaza Game ya Simba na Yanga Tarehe 19

    Wachezaji wa Tanzania hawana Uzalendo na Timu yao ya Taifa, wanapenda vilabu vyao zaidi na kimsingi wanapenda pale wanapolipwa zaidi. Sijui wakiwa timu ya Taifa huwa wanalipwa sh ngapi, lakini ni dhahiri akili zao kwenye game ya leo dhidi ya DRC iliegemea kwenye mechi dhidi ya Simba na Yanga...
  11. Simba imewahi kufungwa Mara 5 mfulululizo na watani zao Yanga

    Katika hali isiyo ya kawaida, Jamii imeaminishwa kuwa kama Yanga atashinda mchezo wa Jmosi dhidi ya Simba basi itakuwa ni mara ya kwanza kwa hawa Watani mmoja kufungwa mara 4 mfululizo. Lakini Historia inaonesha Simba amewahi kuchapika mara 5 mfululizo bila sare yoyote ile na hapo game 1 Simba...
  12. Yanga yatambulisha nguo mbalimbali zenye nembo yao, mashabiki kazi kwenu kuwaunga mkono

    Dondosha like nyingi kwa sheria ngowi…
  13. Gamondi: Simba Wana ndoto kubwa ya kuifunga Yanga

    "Simba Sc wana ndoto ya kutufunga ili wafurahi sie tunataka kuwafunga ili tuwe mabingwa hiyo ndio tofauti" - Gamondi #FutbalPlanetUpdates
  14. Refa yupi anafaa zaidi achezeshe mechi ya Derby ya Kariakoo ya tarehe 19 Oktaba 2024?

    1. Ramadhan Kayoko 2.Herry Sassi 3.Arajiga. Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
  15. Ni wazi Haji Manara na Hersi haziivi tena

    Kuna taarifa kutokea viunga vya corridor za Yanga kuwa Haji Manara na Mhandisi Hersi ambaye ni Rais wa Yanga haziivi. "....hujiulizi kwa nini hata hajaposti picha za Hersi akiwa Ufaransa na boss wa Man City kwenye Mkutano wa ECA? Kwa taarifa yako, Manara amemkasirikia Hersi eti kisa usemaji wa...
  16. U

    Mzee Mwandiga adai kanuni ya asili inaipa ushindi goli zisizopungua 4 klabu ya Simba katika mechi yake na Yanga

    Wadau hamjamboni nyote? Nimekutana bila kutarajia na huyu Mzee aliyeshiba siku na uso uliojaa hekima hapa maeneo ya mwandiga tukipata chai mida ya saa tatu hivi asubuhi ya leo. Namsikia Mzee huyu kwa masikio yangu akieleza Kanuni ya Asili inaonyesha Klabu ya simba itapata ushindi magoli...
  17. Wachezaji waliofunga mabao mengi katika derby ya Kariakoo tangu 2010

    📊 𝗞𝗔𝗥𝗜𝗔𝗞𝗢𝗢 𝗗𝗘𝗥𝗕𝗬 Wachezaji waliofunga mabao mengi katika derby ya kariakoo tangu 2010 . ⚽ 3 - Stephane Aziz Ki 🇧🇫 ⚽ 3 - Shiza Kichuya 🇹🇿 ⚽ 3 - Amissi Tambwe 🇧🇮 ⚽ 3 - Emmanuel Okwi 🇺🇬 ⚽ 3 - Hamisi Kiiza 🇺🇬 ⚽ 3 - Mussa Mgosi 🇹🇿 ⚽ 3 - Jerry Tegete 🇹🇿 ⚽ 2 - Simon Msuva 🇹🇿 ⚽ 2 - Meddie Kagere 🇷🇼 ⚽...
  18. Mnyama gani anafaa rasmi kwendana na timu ya Yanga?

    Embu tuweke utani pembeni. Duniani kote kuanzia vilabu hadi timu za taifa, kuanzia katika soka, basketball hadi American Football na michezo mingine ni kawaida timu kubwa kujilinganisha na mnyama fulani anayebeba mfanano wa falsafa na haiba ya ile timu. Kuna timu zimeweka mnyama wao katika...
  19. Hivi Rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa Yanga kweli?

    Hapo vip! Embu tuweke ushabiki pembeni alafu tujuulize hivi rais wa FIFA anafahamu kuna timu inaitwa yanga kweli?😀😀😀😀
  20. Wali kuku wenye nazi wamtia kiburi Leonel Ateba. Atamba kufanya balaa kwenye dabi Oktoba 19

    Leonel Ateba kitu pekee anachokikosa Tanzania ni chakula cha Okok ambacho ni mchanganyiko wa mboga za majani zilizosagwa zinazoliwa na mihogo. Hii Ilimlazimu kutafuta chakula mbadala cha kitanzania ambacho kitaziba pengo na hapo ndipo alipopagawa na Wali kuku nazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…