yanga day

Mapou Nzapali Yanga-Mbiwa (born 15 May 1989) is a French professional footballer who plays as a centre-back. He currently plays for FC Istres who are in Championnat National.

View More On Wikipedia.org
  1. Mnyenz

    Quick question

    Wikend kama hii umeamua kuitoa out familia yako. Let's say umewapeleka mlimani city hivi. Katika mizunguko mle ndani, watoto zako wa kike wanaomba uwapitishe washroom. Mkifika, wanaingia ndani. Kidogo unaliona shoga mbavu linaelekea toilet walipo wanao
  2. DELETED ACCOUNT

    Mambo 10 niliyoona kuhusiana na matamasha ya Simba Day na Yanga Day

    Hii ni tathmini yangu ya mambo 10 tuliyoyashuhudia katika matamasha ya Simba Day na Yanga Day. 1. Ni wazi mauzo ya jezi mpya za Yanga siyo mazuri. Jezi za Simba zimeuzika saana. Kuna tukio la Yanga la ugawaji jezi mpya bure kwa waliojitolea kutoa damu halafu anayesimamia ugawaji wa hizo jezi...
  3. Emmanuel Adam14

    Wazo: Kwanini kusiwe na Taifa Day kama ilivyo Simba Day na Yanga Day!?

    Wadau, hebu tuweke kando ushabiki na tuangalie hoja kwa jicho la tatu. Simba wana Simba Day, Yanga nao wana Yanga Day. Zile ni siku kubwa zinazojulikana kitaifa na kimataifa—matamasha, burudani, michezo, biashara, na kutangaza klabu zao. Lakini je, kwa nini sisi kama taifa hatuna siku kama...
  4. K

    Yanga wakileta mambo ya Siasa siku ya Mwananchi nitarudi kifua wazi nyumbani

    Yaani sitani Yanga wakiingiza mambo ya siasa nitachoma jezi palepale wakae wakilijua hilo naamini sitokuwa peke yangu tutakuwa wengi
  5. ngara23

    Tamasha la wiki ya wananchi ( Yanga day) kufanyika 12 September, 2025

    Timu kubwa Tanzania na Africa inaendeleza utamaduni wa kufanya tamasha kubwa, maarufu kama wiki ya wananchi Shughuli zitakuwa 1. Kutambulisha wachezaji wote na bench la ufundi 2. Kuonyesha mashabiki makombe 5 waliyovuna msimu huu 3. Kucheza mchezo wa Kirafiki na timu kubwa 4. Timu zote za...
  6. Mturutumbi255

    Baada ya Simba Day na Yanga Day Kutamatika, Ni Zamu ya Watani Kukutana – Uchambuzi wa Kitaalamu na Utabili wa Matokeo

    Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania. Chanzo: Mitandaoni Timu ya Simba SC...
  7. M

    Yanga Day iliharibiwa na MC WATATU

    Kosa lililofanyika ni kuwaweka washereheshaji watatu ambao wote sio Professional. NI WAJUAJI SANA. Kitenge, Manara na Zembwela wanachojua ni kupiga makelele tu na kutumia maguvu kuongea, yaani ni vurugu mwanzo mwisho, baya zaidi they are very poor in TIME MANAGEMENT. Shughuli ya jana...
  8. Best Daddy

    Wasimamizi Yanga Day Ovyo Kabisa

    Tayari tumewazoea, ila hatukujua kama hamjabadilika. Hakuna tamasha la Siku ya mwananchi liliwahi tamatika bila vituko, malalamiko au majonzzi katika miaka ya hivi karibuni. Mwanzo tuliamini bado ni wachanga katika matukio makubwa kama haya. Ila umefanya matukio kama haya zaidi ya mara tano...
  9. M

    Ujumbe kwa uongozi wa Simba day na Yanga day, swala ni muhimu kuliko Simba day na Yanga day

    Ujumbe huu kwa uongozi wa Simba Day & Yanga wenye imani ya dini ya kiislam (Wasiokuwa waislam haiwahusu) Mapambio yanaaza ynaanza saa 9 hadi saa 5 usiku. Swala ya Alaasiri Swala ya Magharibi Swala ya Isha hizo swala zote zinakosekana Tunajua madhara ya kuacha hizi swala kwa swala la michezo...
  10. M

    Harmonize kutumbuiza Yanga Day

    klabu ya Yanga imemtangaza msanii harmonize kutumbuiza katika kilele cha siku ya wananchi tarehe august4 siku ya jumapili na tayari msanii huyo ametambulisha nyimbo yake mpya atakayo tumbuiza siku hiyo ya wananchi. Huyu ni miongoni mwa wasanii wengi watakao tumbuiza siku hiyo, huu ni ushahidi...
  11. Ubaya Ubwela

    Tiketi za 'Simba Day - Ubaya Ubwela' zinakaribia kuisha, Yanga mnafeli wapi?

    SOLD OUT YA UBAYA UBWELA HII HAPA. Kwa wale wachache wa mwisho kupenya na kupata tiketi changamkeni. Huu umekuwa ni utamaduni wa Simba kuujaza Uwanja kwa kuuza tiketi zote, Ni tofauti na upande wa pili Yanga wao kuujaza uwanja hawawezi mpaka wanunuliwe tiketi au wasubiri fungulia dogy Mara...
Back
Top Bottom