Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anahitaji klabu ya Yanga ijitahidi na kufika fainali ya kombe la mabingwa barani Afrika.
Ameyazungumza hayo akiwa...
Nilikuwa nasubilia kwa hamu kujua kama zile jezi zilizovujishwa za Simba kama zilikuwa ni jezi halisia hili nijiridhishe na jambo Fulani,,,
Lakini nimejiridhisha Leo kwamba zilikuwa ni jezi zenyewe halisia baada ya kuzinduliwa zile zile zilizovujishwa!
Hapa nawapa kongole yanga kwa kuwa vizuri...
Mungu kajalia mechi ya Simba na Yanga ndiyo iliyoamua ubingwa. Mungu amejalia pia timu inayodhaminiwa na GSM imeifunga timu ambayo imekataa kudhaminiwa na GSM kwenye mechi ya maamuzi nani awe bingwa wa ligi. Mungu huyu wa ajabu amezidi kuonyesha maajabu yake kwa mechi ya Simba na Yanga...
Hongereni wananchi....
Tujipange msimu ujao, ushauri wangu... Dirisha hili la usajili... Hatuna namna lazima tusajili beki wa katikati wa akiba, Yanga tumekua tukibweteka Sana na eneo hili kutokana na bahati ya kwamba Dickson job na Ibra Bacca wamekua wakicheza misimu Kwa misimu bila kupata...
Habari wadau.
Ukweli simba ya msimu huu ilipaswa wachezaji wote na viongozi wachapwe viboko.
1. Simba kugoma tarehe 8 kwa sababu ya kipuuzi ya mazoezi ya nusu saa, imesababisha ma bosi wa bodi ya ligi wamejiuzulu. Wazee wa watu wamepoteza ajira yao. Watoto wao wanateseka sababu baba hana kazi...
Watu wengi wameona mwamuzi ameongeza dakika 5 na hakumaliza hizo hizo dakika akawa ameshapuliza baada ya dakika 2 tu!
SABABU:
Uungwana dhidi ya mpinzani✅
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa
Kwa kawaida ikiwa timu...
Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa 31 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ikiwa ni ubingwa wa nne mfululizo. Kwa zaidi ya miaka 85, upinzani wa Yanga na Simba umeendelea kuwa burudani kwa mamilioni ya mashabiki ndani na nje ya nchi. Endeleeni kutupa burudani.
Soma Pia: Full Time: Yanga...
Ni ngumu sana kutegemea propaganda kukuvusha badala ya kufanya usajili Bora na makini,
Ni ngumu sana kutegemea waandishi machawa kukufanyia promo kwamba timu yako ni Bora wakati wanakupoteza!
Na auwezi kuukwepa ukweli kwamba yanga ni Bora dhidi yako kwasababu amakupiga mechi 5 mfululizo Tena...
Leo nimeangalia mechi ya Yanga nikitarajia kuwepo na upinzani mkali baada ya sakata lilotokea siku chache zilizopita nikitegemea Tabora watadraw au kushinda nikiwa na shauku ya Simba kurudi kileleni.
Nilichokiona wanachokifanya Yanga nimejikuta napata wasiwasi na hofu, Yanga ame dominate vibaya...
Wakuu
Huu sasa ni uamuzi wa kipuuzi kaufanya Harmonize, kusitisha wimbo eti kisa mnakereka na kipigo hiyo haipunguzi maumivu kwa mashabiki. acha goma lilie, piga hela za views Yanga wajipange upya kwani ligi bado ni mbichi hii.
=====
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amepiga marufuku...
Leo ni tarehe 7 thursday november 2024,yanga imefungwa mfululizo na Azam na Tabora,hii ni mzuri sana kwa watu wanaojua mpira hii inaitwa the calls,hii itawafanya Yanga wakae sawa kuangalia timu yao wapi panapovuja,
Nakuambia hivi the next Yanga baada ya haya matokeo itakuwa Yanga ya hatari...
Uwanja wa Liti ni mgumu sana na kwa aina ya wachezaji wa Singida, Yanga hakuwa na uhakika wa kutoboa mechi hiyo, Singida wametoa sare moja t na JKT na wote aliokutana nao amewaua, wana wachezaji wenye uwezo wa kupambana na klabu yoyote ile nchini, hivyo gemu ingechezwa Liti kule kwao mkubwa...
Inatia kinyaa kuangalia mpira wa bongo na vile hakuna V.A.R ndio kabisa mambo shaghalabaghala,nimefuatilia hizi mechi mbili mfululizo za Yanga waamuzi wote wana ajenda za kuipa Yanga ubingwa sasa kwanini yanga watumie gharama kusajili ili hali njia ya mkato ipo haileti picha nzuri kwa ligi...
Afisa habari wa klabu ya Yanga Ally Kamwe amesema:
"Nataka niwaambie tu Yanga hii bado, Januari kutakuwa na ongezeko la mchezaji mwingine wa kigeni. Kwa hiyo haijakamilika, tunahitaji kuchukuwa ubingwa wa Afrika"
"Huyo mchezaji aliyemsema Rais Hersi tumemleta alikuwepo uwanjani katika mchezo...
Ni fahari iliyopitiliza, lakini hali hii itadumaza soka la Bongo. Yanga imeendelea kupaa kiufundi na kuzipita timu nyingine kwa mbali, ikiwemo mtani wake Simba, huku sisi mashabiki wa Azam tukikomaa na timu zingine ambazo zina uwezo wa wastani, ikiwemo Makolowidi.
Kufungwa mfululizo kwa...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Juma Ally Magoma na mwenzake Geofrey Mwaipopo waliyokuwa wameikata dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Dar es Salaam, Young African Sports, maarufu kama Yanga.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, Septemba 9, 2024 na Naibu wa...
Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu.
Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje.
Hapa chini...
Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati klabu bora zaidi kwa sasa ni Yanga SC, ukubali ukatae ila huu ndio ukweli mchungu. Binafsi sijaona klabu inayo weza kupambana na Yanga uwanjani ikatoka na matokeo chanya.
Mimi sio shabiki wala mwanachama wa klabu ya Yanga SC wala katika maisha yangu mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.