yanga bingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DELETED ACCOUNT

    Hivi ile mialiko ya Yanga kwenda Ulaya na Kenya kwenye preseason hii iliishia wapi?

    Hii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli. Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu huko Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya kwa ajili ya preseason, wakaishia kucheza Kombe la Mpumalanga ambalo halina tofauti na lile la Shafii...
  2. Son of Gamba

    Yanga raha sana kuanzia Kocha mpaka wachezaji wote wana furaha, tazama video hii

    Hakuna timu nyingine utamkuta kocha ana furaha na wachezaji wake kama alivyo Gamondi. Kwa furaha hii, tuendelee kuiona Yanga ikichukua mataji baada ya mataji. Na Jumamos ijayo Vital'O ya Burundi itakula goli nyingi sana pale Chamazi. . Makolozidadi endeleeni kununa.😛😛😛
  3. Mr Q

    Haji Manara Amesusa? Hakufurahishwa na matokeo ya Yanga?

    Salamu ni upotezaji wa muda twende moja kwa moja kwenye mada. Tangu Yanga waibamize Simba 'Kigoli' kimoja huyu msemaji ambaye siku za hivi karibuni alionesha kuitaka sana hiyo kazi. Hata kupelekea dogo msemaji kujiuzulu. Leo yupo kimyaaaaaaa hakuna mahali alipojitokeza kuonesha kafurahishwa...
  4. B

    Mdhamini mkuu wa Yanga GSM kudhamini timu nyingine saba za ligi kuu siyo fair

    GSM Kudhamini timu nyingine saba za Ligi kuu siyo FAIR. Kinachotakiwa kwa Sasa ni timu nyingine kushitaki FIFA. Barbara Gonzalez alipambana na Hilo na akafanikiwa. Hivi Mwenyekiti wa Simba ana shida gani? Mbona halaumu kuhusu Hilo suala. CEO wa Simba mbona halisemei Hilo? Msemaji wa Simba...
  5. Majok majok

    Yanga hii ni kama maji usipoyanywa utayaoga, mechi 6 magoli 13 karuhusu magoli 4 tu!

    Ukiichukia hii timu Awana habari na wewe,,na Wala sio shida zao itakulazimu uukubali ukweli tu maana Amna namna yoyote Ile utaitumia kujifariji, Wao wanachokifanya ni kuacha miguu yao iongee na sio mipasho na propaganda! Kamchapa Ts Galax ya Africa kusini 1-0, kamchapa kaizer chief 4-0...
  6. Doctor Ngariba

    Yanga mmejipata kwenye ubora wenu

    Aisee kwa boli lile mutafika mbali sana msimu huu wa mashindano ya CAF. Lakini na nyinyi lambalamba mnazingua bhana munafungwaje migoli ya kidwanzi Kama ile. Azizi Ki umekuwa kocha mchezaji aisee, Mobeto bado hajakubemenda tu! Anyway napata shida maana nilikuwa natamani utopolo wapigike ili mji...
  7. Mkalukungone Mwamba

    CEO wa Azam, Popat atoka nduki kwa Mkapa baada ya timu yake ya Azam kukandwa na Yanga

    Ofisa mtendaji wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' alishindwa kuvumilia hadi dakika ya mwisho ya mchezo wa fainali Ngao ya Jamii, na badala yake aliamua kuondoka uwanjani. Soma Pia: Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024
  8. L

    Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

    Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa. Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira. Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida...
  9. kiwatengu

    Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

    Match Day ⚽ Azam FC vs Yanga SC 🏟️ Benjamin Mkapa Stadium 🛡️ Community Shield. 📅 11.08.2024 ⏰ 7:00pm #Daimambelenyumamwiko# Tukutane saa Moja kwa Updates... Mwanzo mwisho!! Kikosi Cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA AZAM Updates.... Timu zote sasa zinaingia uwanjani ili mchezo uanze...
  10. TUKANA UONE

    Simba wakimpa thank you CHAMA ndio nitaamini wako serious na Mabadiliko, tofauti na hapo YANGA BINGWA 2024/2025

    Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale? Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa...
  11. Joseverest

    FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

    Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka? Kuwa...
Back
Top Bottom