yanauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. financial services

    Mapazia 6 yanauzwa, yote TZS 100,000/=

    Habari ya weekend wakuu! Husikeni na tangazo hapo juu, Mapazia 6 used kidogo yanauzwa 4 ni rangi ya maroon 2 meupe yanafaa kuwekwa sitting room au bedroom nk. Huwa yanawekwa Mapazia 3 dirisha 1 hivo 6 yatafaa kwa madirisha 2, bei yake jumla ni 100,000/= dukani huuzwa sh 30k hadi 35k kwa kila...
  2. C

    INAUZWA Makochi used yanauzwa Mbweni JKT

    Habarini wandugu, Nauza makochi yaliyotumika (3-seater na 2-seater) ya ngozi nyeusi. Bei laki 4 elfu 50. Makochi yanayo mito ya ziada ya chini ambayo nimeyahifadhi. Yanapatikana Mbweni Malindi/ JKT. Piga 0759970963
  3. Star onair

    INAUZWA Mahindi yanauzwa, karibuni

    Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia) Debe la mahindi utapata KWA 8500 Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa. Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k. Ila ofa hii ipo KWA kipindi hiki cha Ramadhani baada ya hapo haitokuwepo tena wahi sasa KWA 8500 tu. Karibuni
  4. T

    INAUZWA Sofa (makochi) mawili yanauzwa

    Zimeondoka tayari
  5. RealEstate Agent

    INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata Mashamba kilomita Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10 Mpaka acre 500...
  6. Website Tanzania

    Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  7. M

    Car4Sale Magari aina mbalimbali yanuzwa

    Toyota HARRIER [D.J.M] Year : 2006 Capacity : 2360cc Mileage : 89,000kms Price : 17.5M Location: Mbezi Beach Call : 0717436363 Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom