Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri...
Baadhi ya Waafrika ni viumbe vya ajabu sana, unapiga piga makelele dhidi ya mambo ya kisayansi wakati mwenyewe kwako huna hata kiwanda cha sindano, kila kitu unaagiza kutoka nje halafu unabwabwaja eti mabeberu wanataka kuwamaliza kwa chanjo dhidi ya corona, ilhali unapokea chanjo aina nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.