yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara tunafungiwa biashara zetu na Manispaa ya Morogoro, ukichichelewa kulipa inaongezeka 50,000 kila wiki na huku wamefunga biashara yako

    Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni. Nilienda ofisini kwao wiki iliyopita na nilipewa control number za malipo ya jumla ya 150,000 (Faini na leseni) lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Nimepewa maono, Sheikh Mwaipopo unafuata kama ilivyokuwa kwa Sheikh Majini

    Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!. Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi. Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA...
  3. JamiiForums Tanzania Jifunze Kusema HAPANA: Linda Muda na Malengo Yako

    Jifunze kusema HAPANA. Kusema HAPANA ni muhimu kwa sababu si kila kitu kinachokuja kwenye maisha yako kinafaa kubeba muda wako, nguvu zako au akili yako. Watu wengi wanachoka, wanapoteza focus na wanabaki nyuma si kwa sababu hawana uwezo, bali kwa sababu hawawezi kusema hapana. Ukishindwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ongeza AURA Yako: Jinsi ya Kuheshimika Bila Maneno

    Jinsi ya kuongeza AURA yako (Define Aura As Ule Utulivu Wenye Nguvu Unaomfanya Kila Mtu Akuheshimu Na Kuhisi Uwepo Wako Bila Hata Wewe Kuongea Sana). 1. Ficha michongo yako, weka matokeo mezani. Kuropoka sana kuhusu mipango yako kunavuja nishati (energy) yako bure. Matokeo huwa yana sauti...
  5. JamiiForums Tanzania Sugu ukikubali kudhulumiwa haki ya ubunifu wa wazo lako kimuziki safari hii nitakushangaa sana. Bado nasubiri response yako kuhusu hili tamasha.

    Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa vijana kwa njia ya tamasha la muziki. Sugu alienda hadi Marekani zaidi ya mara moja katika harakati za...
  6. JamiiForums Tanzania Milioni 3 za mazishi yako zitapatikana haraka kuliko laki 3 za matibabu yako

    Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako. Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu Yake na Kupelekea Kuomba Msaada wa Pesa Ili Aendelee Kupata Matibabu Ajabu Ndugu Hao Watashindwa...
  7. JamiiForums Tanzania Leo Ndiyo Siku Yako

    "Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika, na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi, ishi kidogo." Kifo chako hakitakuja kwa tangazo au maandalizi maalum. Kitakuja siku ya kawaida kabisa, ukiwa katikati ya mipango ambayo bado hujakamilisha, ndoto ambazo...
  8. JamiiForums Tanzania Hebu Tuseme Ukweli, Ni Members Gani wapo Kwenye Ignore List Yako?

    Kila member wa JF ambaye amekaa hapa muda mrefu naamini kuna member mmoja au zaidi yuko kwenye ignore list yake... mimi huwa na-ignore mtu kwa sababu kujifanya ananijua sana...yaani mtu uliwahi ku post labda kwenu singida post ya mwaka 2017 huko ila mtu leo 2026 anakuja ku comment kwenye thread...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Wewe Ni Overthinker? Jua Nguvu Yako Halisi

    Kama wewe ni overthinker basi una akili sana… Kama wewe ni overthinker, huenda hujui kuwa una aina fulani ya akili ambayo watu wengi hawana… Watu wengi wanapofikiria, wanaona kitu kimoja tu. Lakini wewe? Akili yako inaenda mbali zaidi. Unaweza kukaa kimya sehemu moja, lakini ndani ya kichwa...
  10. JamiiForums Tanzania Macho, mikono na miguu yako katika tafsiri ya kiroho

    Kwako vinaweza kuwa viungo vya kawaida vya mwili Ulimwengu wa kiroho unatambua viungo hivi kama nyenzo kuu za hatimiliki ya mwanadamu, ambapo 1. Macho yanawakilisha ufunuo na maono 2. Miguu inaashiria hatua na maendeleo 3. Mikono inabeba mamlaka ya uzalishaji. Kwa maana hiyo basi .Macho ya...
  11. JamiiForums Tanzania AI inaenda kupewa Mwili Jiandae Kuachia hiyo Ajira yako

    Wana-bodi, Katika muktadha wa Mapinduzi ya Tano ya Viwanda (Industrial Revolution 5.0), tunashuhudia mabadiliko makubwa ya kimfumo (Systemic Shifts) yanayotishia kubomoa kabisa miundo ya kijamii na kiuchumi tuliyoizoea. Kwa muda mrefu, mijadala kuhusu Artificial Intelligence (AI) imejikita...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu mwanaume, machozi yako na hisia zako havitathaminiwa popote

    Ni lini machozi ya mwanaume yaliwahi kuthaminiwa? Ni mwanaume gani anahisi au anawaza kuwa tegemezi? Hivi unajua ,unathaminiwa na kuhurumiwa ukiwa mtoto tu,lakini baada ya hapo lazima ustruggle? Hivi mnajua mwanaume hupaswi kudeka,kuringa wala kutaka kuonewa huruma? Iko...
  13. JamiiForums Tanzania Umepitia changamoto week moja tu kwenye biashara yako toka uianzishe umeshakata tamaa

    Ndugu zangu, biashara ni mchakato mrefu sana, nina shuhuda za baadhi ya ndugu jamaa na marafiki kuanza biashara kwa pupa kisha kuangukia pua. Mtu ana m10 yote anaitia kwenye biashara, matarajio yanakuwa makubwa sana kwa kipindi kifupi, kwenye hiyo biashara ambayo bado ni changa sana, ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Atakuokoa usitumbukie shimoni; amepata ukombozi kwa ajili yako

    Zaburi 130:3; 51:3-5 zinaonyesha kuwa mwanadamu ni mwenye dhambi na hawezi kujihesabia haki mbele za Mungu. Warumi 7:19,24 zinaeleza mapambano ya ndani ya mwanadamu; anatamani kutenda mema lakini mara nyingi hujikuta akitenda mabaya, hivyo anatamani kuokolewa. Ayubu 9:29,32-33 zinaonyesha kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Sijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe? Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
  16. JamiiForums Tanzania Mke siyo ndugu yako!

    Kama mwanaume ni mbwa basi mwanamke ni joka! Usipaniki..hebu sikia ya huyu mwanaume kipofu.. Anasema alikuwa mtu mashuhuri, mwenye nyumba mbili na kipato kizuri tu..ghafla akaumwa upofu. Akaachishwa kazi..akawa mzigo kwenye familia..mkewe akaanza dharau ikiwemo kumpiga na mwiko, kumvuta sehemu...
  17. JamiiForums Tanzania Huenda kuchelewa kwako kuoa au kuolewa ndiko kunachelewesha kuyafikia mafanikio ya ndoto za maisha yako

    Humo ndiko Mungu amehifadhi mafanikio, furaha na amani ya maisha yako, ni suala la wewe tu kuamua kuingia kwenye ndoa na hatimae kuanza kufurahia Neema na Baraka za Mungu alizokuandalia uzifurahie katika maisha yako hapa duniani. Kwani hujawahi kuona mtu baada tu ya kuingia kwenye ndoa mafuriko...
  18. JamiiForums Tanzania Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

    😁
  19. JamiiForums Tanzania Fuata moyo wako lakini usisahau kubeba akili yako

    Moyo pekee (Bila Akili) Huleta maamuzi ya kukurupuka, matatizo ya kifedha, au kubaki kwenye mahusiano mabaya kwa sababu ya hisia tu. Akili pekee (Bila Moyo) Hufanya maisha kuwa ya kuchosha, yasiyo na furaha, na yenye kufuata taratibu tu bila msisimko. *Ruhusu moyo uchague unachokipenda, lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Kama ukikaa halafu unajikuta unafanya hivi mikono basi tambua una spirit ya utajiri wa mali ndani yako

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…