wydad

Wydad Athletic Club (Arabic: نادي الوداد الرياضي), commonly referred to as Wydad AC and known as Wydad, Wydad Casablanca, or simply as WAC, is a Moroccan professional sports club based in Casablanca. Wydad AC is best known for its professional football team that competes in Botola, the top tier of the Moroccan football league system, they are one of three clubs to have never been relegated from the top flight.
Founded on 8 May 1937 by seven Moroccans belonging the national movement for independence, led by Mohamed Benjelloun Touimi. They initially focused on water polo to give indigenous Moroccans the right to access swimming pools before Mohamed Ben Lahcen Affani – also known by the nickname of "Père Jégo" ("Father Jégo") – created the football section in 1939, he was the first manager of the team. The club has traditionally worn a red home kit since inception.
Domestically, Wydad has won a record of 22 Moroccan league titles, 9 Moroccan Throne Cups and 7 National Super Cup, becoming the most titled club in Morocco. In continental and international competitions, the club has won three CAF Champions Leagues, one African Cup Winners' Cup, one CAF Super Cup, one Afro-Asian Club Championship, one Mohammed V Trophy, one Arab Club Champions Cup, one Arab Super Cup, three North African Championship Cup and one North African Cup.
The club also competes in basketball, handball, field hockey, cycle sport, volleyball, and rugby. Wydad also holds rivalry with AS FAR.

View More On Wikipedia.org
  1. Wydad AC 2-0 Azam FC, Safari ya Wanalambalamba Michuano yha CAF imefikia mwisho Februari 15, 2026

    Timu ya Azam FC imekamilisha Michezo ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho kwa kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Wydad AC ya Morocco na hivyo kukwama kuingia Hatua ya Robo Fainali kwa kuwa imeshika nafasi ya 3 katika Kundi B. Matokeo mengine ya Kundi hilo, Maniema Union ya DRC nayo imeingia...
  2. Aziz Ki atemwa Wydad Casablanca

  3. Wydad Casablanca Vs RC Alger

    Inapatikana hapa https://www.youtube.com/watch?v=J6wxiYVSJHY Samahani: ni Raja Casablanca siyo RC Alger; timu ambayo haipo. Nimekurupuka !! Nimekosa sana, Nimekosa sana, Nimekosa mie.
  4. Tetesi: Aziz ki kurudi yanga kama wydad wasipo lipa 10/07/2025

    Aziz Ki bado ana nafasi ya kurejea Yanga Aziz Ki alijiunga na Wydad kwa mkopo mfupi wenye kipengele cha kununuliwa mazima kabla ya tarehe 10/07/2025. Makubaliano ya Yanga na Wydad ni kulipwa pesa ya usajili wa Aziz (signing fee) ya Tsh 1.7b kabla ya tarehe 10/07/2025 lah sivyo Aziz atarejea...
  5. M

    Siamini kama Aziz Kii kasajiliwa Wydad kwa ajili ya kombe la dunia la vilabu

    Game zote mbili alizocheza KAINGIZWA DAKIKA 5 ZA MWISHO
  6. Wydad Casablanca waachana na Rhulani Mokwena

    Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imeachana na Kocha Mkuu wa Afrika Kusini Rulani Mokwena, wiki chache kabla ya Kombe la Dunia la FIFA la vilabu nchini Marekani. Uamuzi huo ulifanywa Jumatano, Aprili 23 baada ya Wydad Casablanca kumaliza msimu wa Morocco Botola Pro kwa sare ya 1-1 dhidi ya...
  7. Aziz Ki hatakuja kuuzwa Wydad AC

    Nafikiri hizi stori za Aziz Ki kuuzwa Wydad tuzizike rasmi na tuachane nazo. Yanga haijawahi kutaka kumuachia Aziz Ki na kitendo cha aliyekuwa kocha wa Mamelodi, Rulani Mokwena kumsogeza na kuanza "kumnong'oneza" baada ya ile mechi ya robo fainali kati ya Mamelodi na Yanga ilichukuliwa kama...
  8. Ahmed Ally: Kama tulimuua Al Ahly, Wydad, Berkane… hutuwezi kumshindwa Mwarabu wa Daraja la Nne, huyu ni size yetu kabisaaa

    “Wapo watu wanasubiri tufeli waanze kutukebehi sasa tutumie kila tulichonacho kwenda nusu fainali. Na tukimuangalia mwarabu tunayecheza naye huyu ni wa kawaida kabisa. Katika waarabu tumewahi kukutana nao huyu tunamuweza kabisa na hii tunaweza kufuzu.” “Sifa ya Simba, sifa ya Mwanasimba sio...
  9. Tetesi: Wydad Casablanca wamrudia Clement Mzize, Ofa ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2, na Masharti Magumu

    Unaambiwa, vigogo wa soka la Morocco, Wydad Casablanca, hawajakata tamaa. Wakifukuzia saini ya mshambuliaji wa Taifa Stars na Yanga SC, Clement Mzize. Hii ni baada ya klabu yake kuweka wazi kuwa hajupo sokoni. Lakini Wydad hawajali, hawasikii wala hawaogopi—wanaendelea kushindilia mlango ambao...
  10. L

    Eng Hersi mwache Mzize akamalize soka lake Wydad, unamuharibia maisha

    Mzize hana umri unaotaka kuwaaminisha watu, sio young player, wengi tunamfahamu Mzize, muache akacheze soka huko anakoliliwa, Mzize maisha yake bado hayajakaa sawa na njia pekee kwake kutoboa ni kwenda Wydad akacheze, hapa Yanga wewe shs ngapi Injinia. Halafu nikuambie tu washabiki wengi wa...
  11. Tetesi: Clement Mzize huyu hapa kwenye rada ya Wydad Casablanca ✅

    Wydad Casablanca Wameongeza kasi yao kuinasa Saini Mshambuliaji Kinda wa Tanzania na Yanga Africa Clement Mzize Offer ya Wydad Casablanca kwa Clement Mzize inatajwa ni 1.8B Salary+Signing on fees on 3 years contract Clement Mzize kwenye mikono ya Rhulani Mokwena.
  12. Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

    Ni rasmi Wydad Athletic 🇲🇦 hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu 🇲🇦 Full — Wydad 0 - 1 FAR Rabat Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
  13. J

    Simba kumbe aliwekewa hujuma na timu 4 kubwa Asec, Wydad,. Yanga na Galaxy ili aisipenye robo fainali

    Aisee kweli mpira ni vita sasa ni wazi kumbe Simba alikuwa akipambana na hujuma kali kutoka kwa timu 4 ili asiingie robo fainali. Timu hizo ni Wydad ambaye aliamua kucheza mchezo mchafu na kwenda kuwahonga Asec wamuachie goli ashinde kwa uhakika. Timu nyingine ni Asec ambao walikubali kula...
  14. J

    Kwa goli hili, Mechi ya Wydad vs ASEC ilikuwa ni Fixed Match?

    Angalieni video ya goli la Wydad vs ASEC, hii ilikuwa live ni FIXED MATCH. CAF wanapaswa kufuatilia skendo hii na kuchukua hatua kali kwa wahusika Bahasha zinatembea hadi CAF?
  15. ASEC Mimosas kulipa fadhila kwa Wydad Casablanca

    Hivyo ndivyo ninavyoweza kusema kwasababu kama tunakumbuka fainali za mataifa ya Afrika yametamatika hivi karibuni na Bingwa kuwa muandaaji wa michuano husika yaani Cotè d'ivoire. Kama mtakumbuka; Baada ya Cotè d'ivoire walipenya kwenye tundu la sindano na hii ni baada kupita kama Best looser...
  16. Ama kweli Wydad wakubali kuanza upya kuijenga timu yao, kwa timu hii waliyonayo na uchezaji wao kazi wanayo!

    Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza. Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu! Simba msijisifu kumfunga wydad...
  17. FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

    leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca. Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni. Nini maoni yako kuhusu mchezo huu? Ungana nami katika uzi huu ambao nitakuletea kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Kikosi...
  18. Team wydad tujuane hapa pls tupange mikakati ya kesho....

    Tukielekea uwanjan kesho naomba tm wydad tujuane. Mapema jamani Ntakuwa.kwenye kontena letuu pendwaa nyumaa ya.jezi ya wydad nimeandika pdidy Cya on time saa saba ntakuwa taifa napasha safari zetu nje kontena Adbest wydady Rgds. Pdidy
  19. Tabiri hapa matokeo ya mechi ya marudio kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca

    Binafsi naamini Mnyama hatari wa mwituni Simba atapata ushindi mnono wa goli 2-1. Baleke na Kibu watatupia siku hiyo. Karibuni wadau kwa utabiri wenu.
  20. Simba atafungwa kwa kuidharau Wydad

    Kama mtanzania nisingependa kuona timu yoyote ikifungwa. Ila kwa yanayoendelea wapendwa msishangae kabisa kuona simba akifungwa Kumezuka msuguano wa kwa nini huyu achezeshwi yule achezeshwe. Mkumbuke haya ndio yaliwamaliza wakanywa 5 kwa Mkapa Sasa kama unakwenda uwanjani kuishangilia Simba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…