Wakuu,tusaidiane kupaza sauti,hawa gaming board kuna uhuni nadhani wanataka kuufanya,
Tumefanya interview ya kuandika week tatu zimepita,hawajatoa majibu mpaka leo,number ya candidates hata haikua kubwa kiasi cha kusema bado wanasahihisha hadi leo,utumushi tumefanya juzi interview watu...