wizara ya viwanda na biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Luhaga Mpina: Baadhi ya Wawekezaji wa ndani wanalalamika kunyang’anywa kazi na wageni

    Mchango wa mbunge wa jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Joelson Mpina (MB) akichangia bajeti ya wizara ya viwanda na biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo tarehe 14 mei 2025 bungeni Dodoma UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, Wizara ya Viwanda na Biashara ndio kiungo kikuu cha Serikali na Sekta Binafsi...
  2. A

    DOKEZO Wengi wanaoshadidia sakata la wachina ni watu wa kawaida na sio wafanyabiashara. Tuache ushabiki na tuchukue hatua hizi stahiki

    Habari wakuu, Nimekuwa nikifuatilia mijadala mitandaoni, hasa kwenye Facebook, X na hapa JF, kuhusu sakata la Wachina kwenye biashara za rejareja. Inaonekana wale ambao hawafanyi biashara au wanaoendesha biashara zisizotegemea uagizaji wa bidhaa kutoka nje ndio wanaoshabikia Wachina kuruhusiwa...
  3. Parabolic

    Yaliyomo ripoti ya wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo

    Katika ripoti iliyokabidhiwa kwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Seelemani Jafo Machi 18, 2025 jijini Dar es Salaam, mambo 10 yalibainika, yakiwamo ya kampuni za wawekezaji kutosjiliwa Kituo cha Uwekezaji (TIC), kamapuni za wageni kutosajiliwa wala kuea na leseni za biashara, wageni kuuza...
  4. Parabolic

    DOKEZO Kufurika kwa Wachina Tanzania ni fursa au janga?

    Mjadala wa raia wa kigeni hususani Wachina kufurika katika maeneo ya kibiashara hasa jijini Dar es Salaam, umechukua sura mpya, baada ya Serikali kuanza kuchukua hatua za kuwafuatilia kama wanafuata taratibu za kisheria. Hatua za Serikali zimekuja wakati kukiwa na malalamiko ya kufurika kwa...
  5. Roving Journalist

    Wizara tatu zajadili hali ya uzalishaji chumvi nchini Tanzania

    Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Wizara ya Mipango na Uwekezaji pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekutana kujadili namna ya kuondoa changamoto katika sekta ndogo ya chumvi nchini. Wizara hizo zimekutana jijini Dodoma kufuatia taarifa zilizowasilishwa kwa Serikali na Chama cha...
  6. Erythrocyte

    Serikali yasalimu amri mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, yakubali kusitisha kamatakamata ya TRA na kuleta mfumo mpya wa kodi

    Hiyo ndio Taarifa ya sasa baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo unaoendelea ======= Waziri wa Viwanda na Biashara, Kitila Mkumbo amesema wamekutana na wafanyabiashara wa Kariakoo na kutoka sehemu nyingine Tanzania wakiongozwa na mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo, Majid Mbwana...
Back
Top Bottom