Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya-UWSA), CPA Gilbert Kayange, amefanya ziara ya mtaa kwa mtaa katika Jiji la Mbeya kwa lengo la kukagua miundombinu ya maji, kusikiliza kero za wananchi, na kutatua changamoto mbalimbali za kihuduma kwa wateja wa...