wizara ya elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Shule za bweni shule za msingi zifungeni. Ni uzembe wa malezi

    Baada ya ajali na kupoteza maisha ya watoto kule Kagera, shule nyingine mkoani Tabora imeungua. Mmoja katika waliohojiwa alionesha mashaka kwamba kwa nini kwa muda mfupi kiasi hiki na kwa nini zote za dini moja - alimaanisha za Kiislamu. Binafsi nina tatizo na ubora na tabia ya kupeleka watoto...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba Wizara ya Elimu itoe muongozo juu ya muda wa kukaa darasani kwa watoto wetu

    Nitakwenda moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda. Naomba Wizara ya Elimu itoe muongozo juu ya muda wa kukaa darasani kwa watoto wetu. Ni kweli shule zina Bodi, lakini tukumbuke hakuna taasisi ambayo hairatibiwi, Usafiri ipo SUMATRA, nishati ipo EWURA, hotel sijui TFDA nk, sasa hivi mfano...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaojua mawasiliano ya TAMISEMI au Wizara ya Elimu nina shida muhimu sana

    Wakuu habari, kama nilivozungumzia kwenye kichwa cha habari. Nina shida na mawasiliano ya TAMISEMI kwa anayeelewa niingieje kwenye website yao au email yao, vilevile sina email yao wala website yao, naombeni anayefahamu mawasiliano yao anisaidie. Bila kujali ngoja niwaeleze tatizo linalonituma...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu mfungieni Mwalimu huyu. Anaharibu wanafunzi

    Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu ambae anawafundisha wanafunzi kukatika. Matendo haya sio mazuri kwa malezi ya vizazi vyetu. Wizara ya elimu mchukulieni Mwalimu huyu hatua stahiki.
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kukutana na Wakuu wa Vyuo Vikuu nchini ili kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima ya Afya (NHIF) licha ya wanafunzi kulipa fedha hizo. “Katibu...
  6. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu liwekeni sawa hili la watoto kutoka shule saa 11:30 jioni

    Watoto wanaumia sana na hii ratiba hasa kwa mazingira ya shule zetu watoto wanafika majumbani saa mbili hadi saa tatu usiku ukiwauliza wanadai foleni mara daladala zinasumbua Hebu Serikali mlione hili hata kama ndio kusoma hapana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi, musabe schools au wizara ya elimu?

    Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada isipandishwe wala kipindi ambacho watoto hawakuwa shule wazazi wasilipishwe. Shule ya MUSABE iliyoko mkoani...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu izibadilishe shule za msingi za Serikali ziwe English Medium. Soko kubwa sana, Serikali ipate hela ya ada yanayovunwa na watu binafsi

    Habari wadau Naona kuna soko kubwa sana la wazazi wanaopenda watoto wao wasome English Medium. Nawashauri Serikali, kila wilaya nchii hii wawe na shule za msingi za Serikali za English Medium kama Olimpio na Diamond. Wazazi watashukuru sana na sana. Hizo pesa ambazo shule binafsi wanazivuna ni...
  9. JamiiForums Tanzania Elimu kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi wa Awali, Msingi na Sekondari. Je, Wizara ya Elimu inaitambua hiyo elimu?

    Niliwahi kuandika jamii forum kuhusu ili swala la kulipa ada na online education hili swala lipo hivi Tanzania kupitia wizara ya elimu haitambui elimu ya kujisomea nyumbani isipokuwa katika ngaz ya degree tuu hizo zingine chini haiwezekani hivyo mwanao akipata hyo elimu n kama tuition tuu mana...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TCU na Wizara ya Elimu

    Ni weekend nyingine wakuu natumaini mu-wazima wa afya. Kuanzia 2015 mpaka sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la wadahiliwa kukosa vyuo au kozi ya ndoto yake ingawa kuwa ufaulu wake unajitosheleza kujiunga na kozi husika sababu kuu za kukosa zinaweza kuwa: 1. Ushindani mkubwa kwa kozi husika 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…