wivu wa kimapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Arumeru: Mwanamke achomwa maji ya moto na mumewe

    Mwanamke mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Upendo Shabani, mwenye umri wa miaka 38, mkazi wa kitongoji cha Engorika, kata ya Kiutu, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, anadaiwa kuchomwa maji ya moto na mumewe, Gibson Alfred, na kusababisha majeraha ya vidonda sehemu mbalimbali za mwili wake, ikiwemo...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Bodaboda auwawa na mwili wake kutupwa porini huko mkoani Morogoro

    Dereva wa bodaboda aliyefahamika kwa jina la Ally Kambi (24), mkazi wa Kingolwira Manispaa ya Morogoro, anadaiwa ameuawa kisha kuporwa pikipiki na watu ambao bado hawajajulikana waliomkodi eneo la Mkono wa Mara, Wilaya ya Morogoro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki yametokana na wivu wa mapenzi, alituhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
  4. JamiiForums Tanzania Bukoba: Mwanamke auawa kwa kunyongwa na wanaodaiwa kuwa 'michepuko' yake

    Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya Editha Andason, mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, uliopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, aliyeuawa kwa kunyongwa kwa mtandio shingoni. Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 28, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Brasius...
  5. JamiiForums Tanzania Mbeya: Apigwa na mume na mashemeji zake kisa wivu wa kimapenzi

    Mama mwenye watoto tisa, Bi.Honga Shija (45) mkazi wa Kijiji cha Majengo Kata ya Upendo Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake kwa kupigwa na watu wanne, mume wake na mashemeji zake kisa wivu wa mapenzi. Akizungumza kwa njia ya simu Kaimu Kamanda wa Jeshi la...
  6. JamiiForums Tanzania Tanga: Mume atuhumiwa kumuua mkewe, dada wa kazi kwa kuwanyonga na kuwatoboa macho

    Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho. Taarifa iliyotolewa na...
  7. JamiiForums Tanzania Nimepigwa makofi na mke wangu kisa amekuta Meseji natongozwa na mwanamke

    Wakuu , hawa Wanawake kutoka kanda ya ziwa sio Poa kabisa aisee wanaweza kukuvunja miguu hivi hivi Kama mwanaume Ukiwa dhaifu aisee hatari Sana hawa Wanawake kutoka kanda Hii Jana nusura nivunjwe miguu na mke wangu baada kukuta Meseji kwenye simu yangu. Mke wangu nilimuomba msamaha kwa kumpigia...
  8. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Ajinyonga hadi kufa kisa wivu wa kimapenzi

    Kijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kijana (30) amuua mpenzi wa mama yake (34) kisa wivu wa kimapenzi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kijana mmoja kutoka Arusha ajulikanaye kwa jina la Idrisa Baltazari (30) amefanikiwa kumuua mpenzi wa mama yake aitwaye Manzi Yambayamba (34) kwa sababu za wivu wa kimapenzi. Habari kamili kutoka eneo la tukio zinadai kuwa kijana huyu pia...
  10. JamiiForums Tanzania Botswana: Baba aua watoto wake wawili kabla ya kujiua Kwa sababu ya Wivu wa Kimapenzi

    Wivu wa Kimapenzi umesababisha kifo cha Dr Mellus Tshube, Raia wa Gaborone, Botswana Jumapili iliyopita ambapo kabla ya kufariki kwake aliwaua pia watoto wake wawili, mmoja akiwa na umri wa miaka 2 na mwingine akiwa na miaka 7. Kamanda wa Polisi wa eneo hilo, Obusitswe Lokae amethibitisha...
  11. JamiiForums Tanzania Rorya: Mme amkata Mkewe titi na mkono kisa wivu wa kimapenzi

    Mkazi wa kijji cha Isango wilaya ya Rorya, Maria Marwa (36) amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mara baada ya kudaiwa kukatwa mkono na titi na mumewe. Mwanamke huyo alipata majeraha hayo baada ya kuibuka ugomvi baina yake na mume wake huku chanzo kikidaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…