Naziomba mamlaka ziliangalie na kulitafutia ufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huu wa ajabu kabisa unaolelewa ni kero kubwa kwa raia na unaathiti sana utulivu wa moyo na akili.
Pengine mahospitalini tunatibiwa magonjwa sugu yanayotokana na adha ya makelele haya...