wilaya ya maswa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums KERO Afisa Ardhi wa Maswa amekaa muda mrefu kituoni hapo, ufanisi wake umeshuka

    Afisa Ardhi wa Wilaya ya Maswa amekaa wilayani humo kwa miaka 24 na ndiye chanzo cha migogoro ya ardhi Serikali inatakiwa kumbadilishia kituo cha kazi, kwani amekuwa kikwazo katika baadhi ya mambo mengi ya kiutendaji kiasi kwamba inaonekana kila kitu kinafanyika kwa vile anavyotaka na sivyo...
  2. A

    JamiiForums KERO Vijana wa BBT Wilaya ya Maswa hatujalipwa stahiki zetu halali za utendaji kazi

    Sisi vijana wa BBT Wilaya ya Maswa tunasikitishwa na sintofahamu inayohusu malipo ya stahiki zetu halali za utendaji kazi katika mambo makuu mawili: Ukiukwaji wa Mikataba ya Matrekta: Tulisaini mikataba ya kulipwa Tsh 1,000 kwa kila ekari tuliyoisimamia. Cha kusikitisha, baadhi yetu wamepewa...
  3. M

    JamiiForums Maombi ya uchunguzi kuhusu uchangishaji fedha kinyume na taratibu kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya mkuu wa wilaya ya Maswa

    Kwa Waziri,Mh Mohamed Mchengerwa,Waziri wa TAMISEMI. Sisi wafanyabiashara wa mji wa Maswa kunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utaratibu unaoendelea wa kuchangishwa fedha na Katibu Tawala wa wilaya ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya. Taarifa...
  4. A

    JamiiForums DOKEZO Kiongozi wa Wilaya ya Maswa anayedaiwa Kuhujumu Mafuta ya Magari ya Serikali Afichuliwa

    Madereva wa magari ya serikali katika halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamemlalamikia,Katibu Tawala wa wilaya(DAS)ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa madai ya kuamrishwa kuacha sehemu ya mafuta wanayopewa kwa matumizi ya magari yao, ili kiongozi huyo ayatumie kwa matumizi binafsi. Kwa...
  5. M

    JamiiForums DOKEZO Bonde la Ziwa Victoria mnataka kuwadhulumu Wananchi wa Kijiji cha Iyogelo, Wilaya ya Maswa ardhi yao mliochimba bwawa?

    Bonde la Ziwa Victoria chini ya Mkurugenzi, Dkt Renatus Shinhu waliandikiwa barua na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa kupitia kwa Katibu Tawala Wilaya, Athuman Kalaghe yenye Kumb Na. AB. 73 /171 /01E/86 ya tarehe 4/04/2025 yenye kichwa cha habari ”KUFANYA TATHIMINI YA MAENEO YA ARDHI YA WANANCHI...
  6. M

    JamiiForums Mkazi wa Njiapanda, Malampaka wilaya ya Maswa afungwa jela kwa kumbaka mwanafunzi wa miaka 11

    Mkazi wa kijiji cha Njiapanda, Malampaka kilichopo wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.Charles Mwiburi(50)amehukumia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa miaka 11. Hukumu hiyo imetolewa leo,Jumatano Aprili 16,2025 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya wilaya ya...
  7. M

    JamiiForums Katibu Kata CCM Nyalikungu wilaya ya Maswa aache tabia zake za kuwatukana viongozi wenzake wa kike.

    Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi wenzake wa Kata hasa wa jinsi ya kike. Aprili 14,2025 alifikishwa katika kituo cha polisi wilaya ya Maswa...
  8. M

    JamiiForums Serikali itupie macho huduma zinazotolewa hospitali ya wilaya ya Maswa.

    Utoaji wa huduma duni za afya katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu unaweza kuwa na sababu nyingi, na si lazima lawama zote ziwe kwa mganga mkuu wa wilaya,Dk Hadija Zegega moja kwa moja, japokuwa yeye ni mmoja wa wasimamizi wakuu wa huduma za afya kwenye wilaya. Hospitali hiyo ina...
  9. H

    JamiiForums Mkuu wa Wailaya ya Maswa na Afisa Uhamiaji Wilaya ya Maswa acheni kunyanyasa raia i.e:WAHA

    Habarini, Leo tena Afisa Uhamiaji kaendeleza unyanyasaji wake kwa maelekezo ya DC wa Maswa kwa kutuma askari wa uhamiaji kwenda kumkamata raia mkazi wa Malampaka Wilaya ya Maswa kwa kile anachodai siyo raia wa Tanzania ingawa chanzo chake ni kuwepo mgogoro wa ardhi baina ya Baraka Kabezi na...
  10. JamiiForums Nyalikungu Sekondari wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu wanafunzi wajificha wakigoma kwenda shule

    Napita hapa mnadani wilayani Maswa nakuta wanafunzi wamekaa sita wa kike wamekaa vibandani. Nawauliza kulikoni hamuendi shule? Wananijibu "jana tulipigwa na leo tusipopeleka hela ya waalimu tutapigwa". Watoto wa kike wakubwa wamekosa elfu 2 ya kulipia walimu wanaojitolea. Nimewaambie warudi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…