Kwa Waziri,Mh Mohamed Mchengerwa,Waziri wa TAMISEMI.
Sisi wafanyabiashara wa mji wa Maswa kunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utaratibu unaoendelea wa kuchangishwa fedha na Katibu Tawala wa wilaya ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa ajili ya ukarabati wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya.
Taarifa...
Madereva wa magari ya serikali katika halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamemlalamikia,Katibu Tawala wa wilaya(DAS)ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa madai ya kuamrishwa kuacha sehemu ya mafuta wanayopewa kwa matumizi ya magari yao, ili kiongozi huyo ayatumie kwa matumizi binafsi.
Kwa...
Anonymous
Thread
kiongozi
kuhujumu
mafuta
magari
magari ya serikali
serikali
wilayawilayayamaswa
Bonde la Ziwa Victoria chini ya Mkurugenzi, Dkt Renatus Shinhu waliandikiwa barua na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa kupitia kwa Katibu Tawala Wilaya, Athuman Kalaghe yenye Kumb Na. AB. 73 /171 /01E/86 ya tarehe 4/04/2025 yenye kichwa cha habari ”KUFANYA TATHIMINI YA MAENEO YA ARDHI YA WANANCHI...
Mkazi wa kijiji cha Njiapanda, Malampaka kilichopo wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.Charles Mwiburi(50)amehukumia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa miaka 11.
Hukumu hiyo imetolewa leo,Jumatano Aprili 16,2025 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya wilaya ya...
Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi wenzake wa Kata hasa wa jinsi ya kike.
Aprili 14,2025 alifikishwa katika kituo cha polisi wilaya ya Maswa...
Utoaji wa huduma duni za afya katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu unaweza kuwa na sababu nyingi, na si lazima lawama zote ziwe kwa mganga mkuu wa wilaya,Dk Hadija Zegega moja kwa moja, japokuwa yeye ni mmoja wa wasimamizi wakuu wa huduma za afya kwenye wilaya.
Hospitali hiyo ina...
Habarini,
Leo tena Afisa Uhamiaji kaendeleza unyanyasaji wake kwa maelekezo ya DC wa Maswa kwa kutuma askari wa uhamiaji kwenda kumkamata raia mkazi wa Malampaka Wilaya ya Maswa kwa kile anachodai siyo raia wa Tanzania ingawa chanzo chake ni kuwepo mgogoro wa ardhi baina ya Baraka Kabezi na...
Napita hapa mnadani wilayani Maswa nakuta wanafunzi wamekaa sita wa kike wamekaa vibandani. Nawauliza kulikoni hamuendi shule? Wananijibu "jana tulipigwa na leo tusipopeleka hela ya waalimu tutapigwa".
Watoto wa kike wakubwa wamekosa elfu 2 ya kulipia walimu wanaojitolea.
Nimewaambie warudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.