wilaya ya kilosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Ajira mpya Wilaya ya Kilosa, Morogoro hatujalipwa fedha za kujikimu

    Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro haijalipa fedha za kujikimu kwa ajira mpya na wapo kimya, hawajasema lolote. Serikali itusaidie katika hilo, tuliripoti kazini mwezi wa kwanza hadi sasa mwezi wa nne, lakini hatujapewa pesa za kujikimu. Mimi ni mwalimu. Soma Pia: Walimu Ajira...
  2. hmaloh

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la umeme wilaya ya Kilosa

    Hii sasa imekuwa too much wananzengo Yani katika wiki Moja kupata umeme wa uhakika labda ni siku tatu! "what a shame to authority" Jamani mnaohusika oneni aibu hii sio sawa kabisa mnazingua sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuigawa tena Wilaya ya Kilosa kutokana na ukubwa wake

    Miongoni mwa wilaya zenye idadi kubwa ya kata hapa nchini Tanzania ni wilaya ya kilosa. Wilaya ya Kilosa ina jumla ya kata 38 mara baada ya kugawanywa kidogo na kuzaa wilaya ya gairo yenye kata 8. Kata za Wilaya ya Kilosa - Mkoa wa Morogoro - Tanzania ni Berega | Chanzuru | Dumila | Kasiki...
Back
Top Bottom